Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Uwe unakunywa basi mara kwa mara maji yenye limao au ndimu ili kupunguza hasira.Tulizeni mishono MR. DHAIFU ni Lulu hapo ufipa kwa sasa.
Kwahiyo Yale maukuta yote ni Hasara kwa Taifa tu.Mpaka jwtz wameambiwa waangalie namna wanavyolinda mererani. Madini yanaibiwa kama kawa. Mama ni mkweli.
Mkuu kila zama na mambo yake na majira yake,usiishi kwa kukariri,kuna mada moja ilitolewa na mwanajf mmojavkuhusu Starlini waRussia .Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukudanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahaka unaotakiw? Je, hawaaminiki tena?
Marehemu alikua mental fresh yani mirembe dozMimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukudanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahaka unaotakiw? Je, hawaaminiki tena?
Baba alikuwa mkoloni mweusi. Alipenda kudamganywa wajanja wakawa wanamwingiza chaka huku wakimpongeza. Si unajua alikuwa mshamba sana mpenda sifa.Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukudanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahaka unaotakiw? Je, hawaaminiki tena?
Alitaka awe anaiba bila watu kumuona. Sasa kule alijaza majeshi ya nini.Kwahiyo Yale maukuta yote ni Hasara kwa Taifa tu.
Perfect. Hana wakumlaumJiwe tunajua tabia zake za kupenda kick na vitisho!
Hivyo usitake kumsafisha huyu mtu... Matatizo yake aliyatengeneza kwa mikono yake mwenyewe
Marehemu aliwahi kunukuliwa akipayuka "Mimi sipangiwi. Tena ukinishauri ndo unaharibu kabisa"JPMm atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.