Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Ni kiongozi bora kwako wewe na familia yakoJPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.