Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Aahaaaaaa,JPM alikuwa ni Simba aiseeMagufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.
Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.
Wataalam wa mambo yasiyo onekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?
Aahahaaa,why do you think so!?Magufuli was a country bumpkin.
Wasukuma bwana, mnapenda kujionesha ni wababe [emoji23][emoji23][emoji23]Sio hirizi.
Nitafutie Kiongozi yoyote Mzawa wa Kanda ya ziwa, mwenye kuweweseka , Tafuta !!.
Unaulizwa A unajibu Z halafu unashangilia kama zuzu!.Upigaji Bandarini itakua ni historia,tafuta kibarua kwingine usije ukachelewa.
His record shows, his swagger was medieval, his utterances fiendish and crass.Aahahaaa,why do you think so!?
Nakubaliana na wewe hapo uliposema alikisimamia kile anachokiamini hata kama kinaumiza wengine .Mfano wakati wa utawala wake alikataa kuongeza mishahara watumishi wetu kwa hoja kwamba badala ya kuwaongezea watumishi mishahara ni bora hizo hela zitumike kuboreshea huduma za jamii na kujengea miundombinu ambayo hata hao watumishi watafaidi pamoja na watu wengine.Huku akiwasisitiza chapeni kaziPamoja na madhaifu yake meeeengi....
Lakini alileta nidhamu na uwajibikaji.
Pia wezi na mafisadi walimuogopa kwasababu alizijua njia zao kwakua aliishi kwenye mfumo tangu wakati wa BM.
Alikua na uchungu na rasilimali za taifa pia alikua alikua na maono yake kwa taifa.
Aliwapenda wanyonge na nakupenda masikini aonewe.
Alisimamia kile alicho kiamini hata kama alikua anaumiza wengine, lakini alisisitiza msimamo wake.
Niambukize huo utawala na miyehiyo ni asili ya mtu na msimamo wa mtu. ni kweli najua kuna watu huwa wanakula hiyo hirizi, ila kuna wengine kama mimi, nimeumbwa hivyo, kutawala. hata nikienda kwa mkubwa namna gani huwa nikifika tu namtawala, naona kabisa ananiogopa, nina kautisho fulani hivi na sina hirizi ya simba wala uchafu wowote.
Alikuwa anaogopwa nchi gani? Alithubutu kutia mguu ulaya?Kweli mwamba alikuwa anaogopwa mpaka kwenye nchi za watu.
He was a no nonsense guy.
Ni kwa sababu walau alikuwa anafaya maamuziMagufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.
Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.
Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je, Rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?
Ukisikia nchi za watu, unawaza Ulaya tu?Alikuwa anaogopwa nchi gani? Alithubutu kutia mguu ulaya?
Hili liko wazi Mkuu, Kanda ya ziwa Haina uswahili ,hamna uswahili kabisaa .Wasukuma bwana, mnapenda kujionesha ni wababe [emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema wasukuma waliokuwepo enzi za utawala wa jiwe walikua wanamvimbia boss wao?Hili liko wazi Mkuu, Kanda ya ziwa Haina uswahili ,hamna uswahili kabisaa .
Kwetu sisi, Nyeupe ni Nyeupe...Nyeusi ni nyeusi ,kujiamin, uthubutu ,Uwezo mkubwa wa Akili ,Hatuna Ubinafsi , tu wenye maono n.k !!.
Kwa mfano Mimi mwenyewe, Huwa nikiingia kwenye Ofisi za watu, Wewe Boss, utajikuta unanitetemekea Mimi, hili limekua linafanya nahudumiwa haraka haraka Kwa sababu uwepo wangu pale uwa kama Swala kamuona Simba .
Hata Kazini , wananiogopa japokua Nina mwili wa kawaidaaaa, ila wananiogopa mno Hawa waswahili.
Sisi tunapokutana wenyewe Kwa wenyewe, hapo ngoma ndio Inakua nzito.
Lkn unikutanishe na waswahili [emoji1787][emoji1787]
Hakuna kitu kama hicho. Mbona mimi nilifanya naye kazi kwa ukaribu sikuwa namwogopa kwa lolote lile. Hakuwa akitisha wala nini.Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.
Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.
Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je, Rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?
Sio watu wote walimuogopa, sema nyie watu wa kujipendekeza ndio mlimuogopa. Sisi wengine tulimchukia wazi wazi na wala sio kumuogopa.Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.
Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.
Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je, Rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?
ulikuwa humjui ndugu yangu, yule alikiuwa anatisha, huo utiisho alikuwa nao. hata hali ya hewa tu ilikua inabadilika eneo alipo.Sio watu wote walimuogopa, sema nyie watu wa kujipendekeza ndio mlimuogopa. Sisi wengine tulimchukia wazi wazi na wala sio kumuogopa.
Fuata ushauri niliokupa before it's too late for you.Unaulizwa A unajibu Z halafu unashangilia kama zuzu!.