Je, Hayati Magufuli alikuwa na hirizi ya simba?

Kweli mwamba alikuwa anaogopwa mpaka kwenye nchi za watu.

He was a no nonsense guy.
Alikuwa anaogopwa na nani? Kuna wakati kaingia madarakani alimualika Kagame. Akawa anajaribu kumkoga Kagame na sifa za kijinga eti kwenye Tanzania yake ya viwanda kajenga viwanda elfu 4. Kagame akawa anamtazama tu kwa dharau kuwa asimuone mjinga kama makondoo wake wa Tanzania. Kabudi maana alikuwa mfuasi wake akawa anajichekelesha tu.
 
Mkuu NARUDIA, achana na habari za Mmoja Mmoja, Ukweli ni kwamba, watu wa Kanda ya ziwa Kwa Tanzania, ndio watu ambao unaweza sema ni waisrael !!.


Kuhusu kumvimbia JPM, nmesema hapo, kua Kanda ya ziwa akikutana na Kanda ya ziwa mwenzake, hapo Huwa mwenye mamlaka au nguvu ndo anayetamba, wewe utalazimika tu kumtii na kumpa Heshima.


Wanauza mayai Kwa sababu watu wa Dar ni wajinga, legelege, wanapenda mambo ya kipuuzi, Kanda ya ziwa ni wachapa kazi, hawabagui kazi, ndio maana DAR, IMEJENGWA NA MAKABILA.

Mimi mwenyewe ,Wazazi wangu Wana mijengo ya maana huko ipatayo Mitano, + Nyumba za wapangaji .


Wachaga Sasa ndio Usiseme.

Watu wa iringa na waha ,ndo Usiseme.


Unasema nn?? Dar haijengwi na waswahili hao, Wala sembe na matembele na kupenda starehe huku kazi ni sifuri..

Nimesoma Dar toka darasanpa kwanza mpaka kidato cha Sita, waswahili wa Dar walikua wananiogopa sana, wananiita wa Bara .!!.


Dar, Pwan, mtwar Lindi, Moro, zina Binadam wa ajabu kwelikweli !.
 

Inaonekana unachanga uchapa kazi na kufanya kazi ngumu. Hayo ni mambo mawili tofauti. Unaweza kuwa mchapakazi bila kupenda kazi za labour intensive. Siku hizi kuna mashine nyingi za kufanyia kazi, tena kwa ufanisi mkubwa. Mambo ya kulima heka nzima kwa siku kwa jembe la mkono sio sifa boss.
 
Itakua una muonekano wa kutisha lakini sio kwamba kabila lako ndio linaogopesha watu. Yani kazi zote zilizopo dar umeona kuuza mayai ndio big deal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasukuma mnapenda kujikuza sana na mmejikuza zaidi baada ya kupata raisi aliyetokea huko. Halafu mna masifa kama ya wahaya vile mnakaa karibu mnafanana tabia [emoji23][emoji23][emoji23]


Tena mkiona wanawake weupe mnavyochanganyiwa ndio mtaweza kuvimba mjini kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
umeongea yote sawa, ila hilo la watu wa kanda ya ziwa kuwa waisrael, umeongea matapishi, ujinga kabisa. umeleta dharau sana kwa wayahudi. kwanza kwasababu watu wa kanda ya ziwa huwa hamkati magovi ukiondoa wakurya ambao nao wanafyeka na harage za dada zao, wayahudi hawafanyi hayo kwa dada zao. pili, ni washamba sana. mimi natoka mojawapo ya maeneo hayo uliyoyasifia, ila nakuona mshamba sijui umetoka lini porini. ukiondoa ushabiki wooote, makabila yaliyofanikiwa kati ya uliyoyoyataja ni wahaya kielimu, wachaga kielimu na biashara, Iringa kibiashara (wakinga, wahehe, wabena), wasukuma waondoe kabisa kwenye hilo orodha.
 
Lakini kuna watu walimnyooshea kidole. Huwenda labda umeandika bila kufanya uchunguzi japo waliofanya hivyo kuna mambo yaliwapata kila mmoja kwa namna yake
 
Wewe utakua wakuja tu.
 
Wala Mimi sijasema ni sifa , Achana na mashine, Kuna kazi sio za mashine, na zinahitaji watu wenye uthubutu wa kufanya, nguvu au akili .


Nyie wapwani nyiee , wengi ni kula kulala, Maisha yenu Huwa mnaangalia Leo !!.
 
Jiwe alikuwa simple Sana,,wala hakuwa na issue ninuoga WA majzi kwani Mzee alikuwa na evidence
 
Wala Mimi sijasema ni sifa , Achana na mashine, Kuna kazi sio za mashine, na zinahitaji watu wenye uthubutu wa kufanya, nguvu au akili .


Nyie wapwani nyiee , wengi ni kula kulala, Maisha yenu Huwa mnaangalia Leo !!.
Kama wasukuma mngekuwa wachapa kazi hivyo nchi isingekuwa masikini hivi, ama huko usukumani tusingeona masikini wa vile. Achana na sifa za kijinga.
 
Hizi imani za kijinga ni moja ya sababu kubwa watu wengi wa Tanzania bado wanaogelea kwenye lindi la umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…