Uchaguzi 2020 Je, hii ndiyo sababu ya NEC kutochapisha fomu za wagombea Urais kwa "Alphabetical order"?

Na hizo ni mbinu za kizamani sana, CCM na Tume wanashindwa jitambua kuwa Dunia hairudi nyuma ,inasonga mbele,tunaendelea kuwaelimisha wapiga kura,
Nasisi tunawaambia usihangaike kusoma majina,angalia wa mwisho kabisa chini ya karatasi
Alama ya ushindi iko mwisho
 
Kwenye karatasi ya kupgia kura Hon. Tundu Lissu amewekwa wa mwisho............... Sasa basi Kiimani tunasema Wa kwanza atakuwa wa Mwisho na wa Mwisho atakuwa wa kwanza.............. Kiimani tumeshashinda kwa Ishara hii Mungu ni mwema

Nenda kapige kura na kumchagua wa mwisho achana na hayo mengine
 
Hawana ujanja wakati huu. Mbinu ya kipuuzi kabisa. Imepitwa na wakati. Wapiga kura wameshaelimishwa vya kutosha. Siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza. Ccm hawana mbinu tena. Kwisha habari yao
 
Amini amini nawambia, kamwe sikutegemea kama CCM kwenye uchaguzi wa mwaku huu ingekuwa UNDERDOG kiasi hichi! Nasema tena sikutegemea
 
Hata barua wanaangalia mwisho kama imsainiwa😂😂
Lakini lazima uangalie mwanzo ujue ilikotoka 🤣🤣
 
Sasa ndio wakati wa kuwapa mbinu wapiga Kura na Hilo lifanyike Majukwaani
 
Saccos Hoyee, ruzuku na michango ya wabunge hoyeee. Mwaka huu kipondo mpaka mzime data za vichwa vyenu.
 
Kama ndio mbinu basi wamefanya upumbavu. Unapomuweka Lissu mwisho tayari umetengeneza news.... halafu ni kama ilivyo rahisi kumpata wa kwanza ndio ilivyo rahisi kumpata wa mwisho. Wangekuwa na akili wangemuweka Lissu katikati.
 
Wamekosea sana kumuweka JPM pamoja na hawa wasio hata na chembe ya uzalendo. Wamekosea sana
Mgombea mzalendo ni JPM tu wengine ni mawakala wa kuuza nchi hasa yule wa mwisho. NEC wameweka orodha kwa kufuata rate ya mgombea katka uzalendo. Lissu ni mzalendo wa mwisho hana chembe ya huruma kwa nchi ndiyo maana amewekwa wa mwisho. Uchaguzi wa mwaka huu ni UZALENDO vs UWAKALA
 
Siku zote usimkatalie mtu kupiga chabo ukimkatalia atataka kujua kwanini unamkatalia na akigundua ulikua unamnyima utamu ndo anahamia huko mazima.
 
Kitu ambacho CCM inatakiwa kukifahamu ni kwamba:-
Wanaopiga kura wengi ni wale walioumizwa na serikali ya awamu ya tano yakiwemo makundi tofauti tofauti.

Kama vile:-
:-Wafanya biashara
:- Watumishi wauma
:- Wanafunzi walihitimu elimu
ngazi tofauti tofauti na wakakosa kuajiriwa.

Ambao kimsingi makundi yote ya wahanga wannajua kusoma na kuandika vizuri. Hivyo hakuna kitacho haribika.
 
Na CHADEMA watengeneze karatasi kama hiyo waitume kwenye Mitandao mana tukisubiria Tume iongee kitu hawataongea.
 
Na CHADEMA watengeneze karatasi kama hiyo waitume kwenye Mitandao mana tukisubiria Tume iongee kitu hawataongea.
Ccm ndio inayoungwa mkono na wajinga kwa mujibu wa tafiti ya Twaweza.

Tutakaompigia kura Lisu tunajiwlewa, hata walete karatasi yenye kurada 199 tutapekuwa mpaka tumkute ni yeye na bendera ya Chadema ndio kura zetu zitapigwa hapo.

Sina shaka yoyote, hiyo mbinu labda ni ya kuwasaidia mambumbumbu ya ccm yasiharibu kura zao.
 

Hii haina maana yoyote na kwa kweli haitasaidia..

Kwani, MAJIRA na NYAKATI zikiwadia hakuna kinachoweza kuzuia mabadiliko..!

Ni msemo rahisi na wa mazoea, lakini una maana yake, kwamba;

"...Wa kwanza atakuwa wa mwisho, na mwisho atakuwa wa kwanza..."

Kama Mungu Yehova ameamua kuweka utawala na uongozi mpya wa taifa hili, basi hivyo ndivyo itakavyokuwa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…