Je, hii ni coincidence au la? Timu zinazoelekea kucheza na Simba kupata ajali na mechi kuahirishwa

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.

Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji

GjlJaCgWAAAL5ll.jpeg
download (32).jpeg
download (33).jpeg
 
Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.

Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji

View attachment 3234466View attachment 3234468View attachment 3234469
Ulitakiwa uombe Mungu hali zao zitengemae kwa haraka ili warudi kwenye majukumu wewe unalalia kwenye imani za kishirikina ndio maana watu wa yanga walilalamika kupata droo na jkt eti uwanjani kulichimbiwa vitu na walizuiwa wao kuchimbia vyao akili mbovu!
 
Wangewaacha wachimbe halafu wahojiwe wanachimba nini kwenye kambi ya jeshi.
 
Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.

Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji

View attachment 3234466View attachment 3234468View attachment 3234469
Kuna wakati siyo kila kinachokujia kichwani ni cha kusema au kupost. Vingine ni shetani tu kaamua kukuvuruga na kucheza na akili yako.
 
Hivi nani aliwahi kusema kwamba pale Utopoloni wenye akili ni watu 2 tu? Na hao watu 2 ni akina nani?
Nawasilisha kwa hatua zenu wadau.
 
Jambo la Ajali ni suala mtambuka sana. Lina vyanzo vingi. Usiegemeze kichwa upande mmoja. Vipi kama wanakosea masharti yanayopelekea kupata tatizo upande wao😁
 
Nimeumia sana..kwahiyo wiki simuoni Mnyama..daah itakuwa shida sana...halafu wale jamaa watakaa Kileleni!?
 
Humu ndani kwa sasa mataahira wameongezeka kwa kasi sanaa. 😃😃😃😃😃😃
 
Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.

Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji

View attachment 3234466View attachment 3234468View attachment 3234469
Hofu ya kukutana na Simba,hadi dereva nae anakuwa na hofu, safari hii yanga anaenda kuchezea goli saba,sio kwa simba hii walah!!
 
Back
Top Bottom