Je, hii ni coincidence au la? Timu zinazoelekea kucheza na Simba kupata ajali na mechi kuahirishwa

Je, hii ni coincidence au la? Timu zinazoelekea kucheza na Simba kupata ajali na mechi kuahirishwa

Na suala la wachezaji na viongozi wa yanga kufiwa na wenza wao na baba zao pindi wanapojiunga na yanga hii imekaaje
Bakari mwamnyeto
Ali kamwe
Shadrack boka
Beki la chan

Lizt ni ndefu ila kifo ni kifo na ajali ni ajali tu.
 
Uoga,wanakuwa na kitete kuanzia timu,benchi,Dereva,Wapishi.Huku kwetu kulikuwa na jamaa Mhasibu wa Kampuni fulani kubwa tu ilikuwa kila ikifika siku ya kutembelewa na Wakaguzi analazwa hoi,mpaka alikuja akaaga Dunia.
 
Wewe unateseka ukiwa wapi?.

Mbona haujasema ajali iliyotowapata Namungo wakati wanasafiri kuja kucheza na Yanga na kupelekea vifo vya mashabiki wao kadhaa?
Dunia muzima wenye akili yanga ni wawili tu, mheshimiwa Kikwete na Mzee Sunday Manara. Wengine ni MANYANI NA MAMMBWA.
 
Back
Top Bottom