MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Ulitakiwa uombe Mungu hali zao zitengemae kwa haraka ili warudi kwenye majukumu wewe unalalia kwenye imani za kishirikina ndio maana watu wa yanga walilalamika kupata droo na jkt eti uwanjani kulichimbiwa vitu na walizuiwa wao kuchimbia vyao akili mbovu!Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.
Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
View attachment 3234466View attachment 3234468View attachment 3234469
Wangewaacha wachimbe halafu wahojiwe wanachimba nini kwenye kambi ya jeshi.Ulitakiwa uombe Mungu hali zao zitengemae kwa haraka ili warudi kwenye majukumu wewe unalalia kwenye imani za kishirikina ndio maana watu wa yanga walilalamika kupata droo na jkt eti uwanjani kulichimbiwa vitu na walizuiwa wao kuchimbia vyao akili mbovu!
Kuna wakati siyo kila kinachokujia kichwani ni cha kusema au kupost. Vingine ni shetani tu kaamua kukuvuruga na kucheza na akili yako.Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.
Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
View attachment 3234466View attachment 3234468View attachment 3234469
Wenda wazimu!Wangewaacha wachimbe halafu wahojiwe wanachimba nini kwenye kambi ya jeshi.
Simba wanapanga ajali? Au timu zinaiogopa simba wanaweweseka mpaka wanapata ajali
Toa mwiko wako hapa
Hofu ya kukutana na Simba,hadi dereva nae anakuwa na hofu, safari hii yanga anaenda kuchezea goli saba,sio kwa simba hii walah!!Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.
Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
View attachment 3234466View attachment 3234468View attachment 3234469
Kama wale wanaotumia sindano za kusisimua misuli kipindi cha pili baada ya kukosa matokeo mazuri kipindi cha kwanzaMchawi wa Simba ana tunguu nyingi sana