Na suala la wachezaji na viongozi wa yanga kufiwa na wenza wao na baba zao pindi wanapojiunga na yanga hii imekaaje
Bakari mwamnyeto
Ali kamwe
Shadrack boka
Beki la chan
Lizt ni ndefu ila kifo ni kifo na ajali ni ajali tu.
Uoga,wanakuwa na kitete kuanzia timu,benchi,Dereva,Wapishi.Huku kwetu kulikuwa na jamaa Mhasibu wa Kampuni fulani kubwa tu ilikuwa kila ikifika siku ya kutembelewa na Wakaguzi analazwa hoi,mpaka alikuja akaaga Dunia.