Kwani Nigeria ni mkoa hapa Tanzania? Au ni nchi tofauti na sheria zao walizo jipangia, kuna state kama Kano zamfara zaria zinafuata sheria za kiislamu kama katiba yao, sasa utaanza je kawalawumu, wakati walikubalaiana,.......sometime tupunguze kiherehere cha chuki cha dini za watu.Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina idadi kubwa ya Waislamu, ambapo mfumo wa kisheria wa Kiislamu - Sharia - unafanya kazi pamoja na sheria za kilimwengu.
Polisi wa Kiislamu, wanaojulikana kama Hisbah, hupekua migahawa na masoko kila mwaka wakati wa Ramadhani ili kuhakikisha Waislamu wanafuata saa za kufunga. Baadhi ya vituo hukaa wazi katika maeneo ya Kano ambako Wakristo wengi wanaishi.
Ramadan in Nigeria: Islamic police arrest non-fasting Muslims in Kano
Officers in Kano search cafes and restaurants every year during Ramadan looking for Muslims breaking the fast.www.bbc.com
Mambo yao waachie wenyewe, acha wafu wazikane.Polisi wa Kiislamu, wanaojulikana kama Hisbah, hupekua migahawa na masoko kila mwaka wakati wa Ramadhani ili kuhakikisha Waislamu wanafuata saa za kufunga.
Kwa hiyo sheria zao ndizo hizo za kulazimisha mfungo na kama ni dhambi huyo Mungu wanayemwabudu hawezi kuadhibu hadi binadamu ndio wachukue nafasi ya Mungu..!!!πππKwani Nigeria ni mkoa hapa Tanzania? Au ni nchi tofauti na sheria zao walizo jipangia, kuna state kama Kano zamfara zaria zinafuata sheria za kiislamu kama katiba yao, sasa utaanza je kawalawumu, wakati walikubalaiana,.......sometime tupunguze kiherehere cha chuki cha dini za watu.