Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

umenyoosha gentleman
 
Mkuu mwache apambanie haki yake dhidi ya wahuni huko ndio itajulikana!
 
Ni ajabu sana kuona mtanzania anayejipambanua kuwa na uelewa mkubwa kuanza kufanya personal attacks badala ya kushambulia hoja.
 
Bila shaka umeamua kupoteza mda, mwenye kumwelewa mpina ni yule alie na akili tu

Kwa ulichokiandika unajiondoa moja kwa moja kwa watu wenye akili
 
Leteni hoja zenu kujibu zile za Mpina!
 
Anakiri mwenyewe kwa kinywa chake kukosea, lakini hapo hapo anadaia hana makosa, ameonewa na anakwebda mahakamani
hii sio dalili nzuri mentally, yafaa kiongozi huyo asaidiwe mapema mambo yasiharibike zaidi.
Hivi ugombea binafsi uliishia wapi
 
Bunge ili ambalo limeshindwa kuchukua hatua mafisadi waliotajwa kwenye ripoti ya CAG?! Tanzania hatuna bunge tuna vikao vya porojo tu.
 
Hivi ugombea binafsi uliishia wapi
nadhani kwenye katiba mpya ijayo pana uwezekano kukawepo kwa nafasi hiyo, but kwasasa ni ngumu kidogo japo kuna mahitaji
 
Bunge ili ambalo limeshindwa kuchukua hatua mafisadi waliotajwa kwenye ripoti ya CAG?! Tanzania hatuna bunge tuna vikao vya porojo tu.
mbona hatua zunachukuliwa kisekta na wahusika wanachukuliwa hatua stahiki za kisheria ipasavyo
 
Leteni hoja zenu kujibu zile za Mpina!
mpina hana hoja,

ana malalamiko, kinyongo na chuki binafsi za muda mrefu, dhidi ya anao wazungimzia kwa majina kwa muda mreeefu sana, na adhabu alopewa anaweweseka zaidi
 
Wenye dharau na kejeli walikuwepo na wametoweka. Hata wewe na kejeli,ujinga na dharau yako utatoweka tu. Heri mbunge huyu anayesimama kuwapigania Watanzania dhidi ya matapeli yanayolindwa na chura wa katavi. Hakika wewe ni mjinga na ni mjinga Tena. Mwenyezi mungu akutie kiberiti cha adabu siku ya kifo chako. Mpina usichoke baba,wasemee wasiokuwa na sauti wala kipaza sauti .
 
Chawa whed wewe
 
Kuna watu humu ukiangalia Profile zao unaeza hisi wana akili kumbe ni wapumbavu tu kama kina Nyamwi255 na MZURI SANA
Tena kisiasa tunawaita Malaya, ni msiba.
 
mihemko na ghadhabu zako zimepoa sana gebtleman

hata hivyo nawaombea nyote hasa wewe na muungwana mpina, Baraka na Neema za Mungu awaepushe kung'ang'ana na mambo yasiyo ya kweli, mihemko, ghadhabu, chuki binafs, kiburi na jeuri ambavyo vyote si muhimu wala sifa njema ya uongozi kwa jamii...

Mungua awajalie ustahimilivu na subra hata katika mazingira na hali zilizo kinyume na mawazo, maoni na mitazamo yenu. Sauti Ya wengi Ni Sauti ya Mungu. Bunge kwa kauli moja limethibitisha mpina si mkweli...

hekima na busara, ziwaelekeze vyema kuchagua muda, wakati, sehemu na maneno sahihi ya kusema..
Mbarikiwe Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…