Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship.
Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali tumepoteza CONTROL . Akili kubwa inahitajika ku manage haya mambo.
Tumsikilize