Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship.

Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali tumepoteza CONTROL . Akili kubwa inahitajika ku manage haya mambo.

Tumsikilize


Sio insult ni kweli, hawako so perfect but ndio truth yenyewe
 
Jinsi Wakenya wanavymchora Maza kwa sasa. Wanasema hilo li Goliathi lao lina mashine kubwa balaaaa.
 

Attachments

  • 1747849306987.jpg
    1747849306987.jpg
    337.7 KB · Views: 14
Back
Top Bottom