Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hao wahuni hao,Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa.
[emoji117] I mean no malice to nobody,
View attachment 2630558
Aisee!Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa.
π I mean no malice to nobody,
View attachment 2630558
Zipo, kwamba mwanaume ndy kiongozi kwa mwanamke.Kwani kuna Aya inayowazuia wanawake kuwa ma Imamu ?
Wacheni udikteta katika Dini.
La. Sivyo wekeni andiko linalo wakataza wanawake kuwa ma imamu.
ipo hivi, sala ni dua, ni unyenyekevu, na mawasiliano kati ya mwanadamu na muumba wake, sala inahitaji utulivu wa akili na haipaswi kuingiliwa na jambo lolote,Kwani kuna Aya inayowazuia wanawake kuwa ma Imamu ?
Wacheni udikteta katika Dini.
La. Sivyo wekeni andiko linalo wakataza wanawake kuwa ma imamu.
Hao mamia wako wapi?Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa.
π I mean no malice to nobody.
View attachment 2630558
Acha Ujuaji we Juha,Hakuna Vazi Maalumu Muislamu Anatakiwa Kuvaa,Kama Vazi Lina Stara Inatosha.Mbona hao waislam wa marekani hawajavaa kiislam kama waislam wengine wanaoeleweka? Kama ni kweli, uislam umeharibiwa, waliwakebehi wakristo kwa ukristo wao kuvamiwa na wahuni
Kwani kuna Aya inayowazuia wanawake kuwa ma Imamu ?
Wacheni udikteta katika Dini.
La. Sivyo wekeni andiko linalo wakataza wanawake kuwa ma imamu.
Usikasirikee, tumeuliza mwanamke kuwa imamu ni sawa??π€Kwan apo mamia wako wap acha kuvuta bang na wewe yan watu watatu we unawaona mamia kweli bang mbaya