Je, hii ni sahihi katika dini ya Uislamu???

Je, hii ni sahihi katika dini ya Uislamu???

JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
 
Mbona hao waislam wa marekani hawajavaa kiislam kama waislam wengine wanaoeleweka? Kama ni kweli, uislam umeharibiwa, waliwakebehi wakristo kwa ukristo wao kuvamiwa na wahuni
kuvaa kiislamu ni vipi? Unajua sheria za mavazi ya kiislamu ziko vipi?

Kwa mavazi hao wote wako sawa tu na wanaweza kusali bila ya hofu yo yote.

Ama hayo ya msanii Amina Wadud yanaeleweka miaka siyo chini ya kumi nyuma alianza kuongoza sala kwenye huo msikiti wake.
 
JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
Kwa nini unaleta uongo hapa kwenye forum? Unatafuta vitext vya kiarabu halafu unaandika Bukhari ndiyo ameandika. Wacha uongo na uzushi
 
Kwani kuna Aya inayowazuia wanawake kuwa ma Imamu?

Wacheni udikteta katika Dini.

La. Sivyo wekeni andiko linalo wakataza wanawake kuwa ma imamu.

Kwani we muislam!? Na ukipewa hiyo haya itakuaje!? Na sio uislam tu hata bibilia imakataza mwanamke kuhubili
 
Kama wao ni waislamu na wameona ni sahihi achana nao Fanya mambo Yako yanayokuhusu
 
Hiyo ndo misikiti mipya kule Marekani na Ulaya ambayo inatokana na makanisa yaliyogeuzwa na kugeuzwa misikiti. Sasa utamsikia Mwislamu wa Mchambawima anasema "Uislamu unaiteka Marekani na Ulaya kwa kasi", huo ndo Uislamu mpya wenyewe sasa, endelea kushangilia. Na cha ajabu aina hii ya Uislamu itafika hadi Africa, hawa NWO wameanzia mbali sana.
 
Waislam wa mchambawima ni wabishi ukiwaambia kuwa hata uislam unaharibiwa vibaya na hawa wahuni hawaelewi. Kumekuwa na uislam wa ajabu duniani siku hizi
 
Mwanamke ni binadamu,mbona wewe kama mwanamke audi kumposa mwanaume?mbona wewe kila mwezi unatokwa damu wanaume hawatokwi damu mbona husemi huo ni ubaguzi?mbona wewe unabeba mimba wanaume hawabebi mimba mbona husemi ubaguzi?mbona unakojoa umechuchumaa wanaume wana simama wewe ukikojoa hume simama hicho kimini chako chote kitaloa kwa mikojo mbona usemi ubaguzi?ukweli unaujua tu ila ushenzi tu ndio unao kusumbua
We jamaa sijawahigi kuona unaongea points za msingi linapokuja swala la dini....hata mi siungi mkono mwanamke kusalisha Ila swali la huyo mtu ulijibu vizuri kuliko haya umeyaandika
 
Back
Top Bottom