Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Lakini mbona wako msikitini🤔🤔, na anatumia aya za Quran kuswalishaHao wahun sio waislam!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mbona wako msikitini🤔🤔, na anatumia aya za Quran kuswalishaHao wahun sio waislam!
Inafaa au haifai??Aisee!
Tayari msikiti ushaelekezwa kibra
Tujibu hoja Kwanzaa, SI matisho mkuuMwambieni huyo mama akafanye hiyo scene yake Afghanistan
Tujibu hoja mkuu, lengo Ni kuuliza kwa wema tu🙏Duh hii imekaa kifujo sana
Hao mamia wako wapi?
Huo ni utani kabisa, mimi waislamu navo wajua huyu hawezi kikanyanga nchi za kiislamu atabaki tu kua imamu wa FBI .
Hiyo ni janja ya mzungu ilioferiKutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa.
[emoji117] I mean no malice to nobody.
View attachment 2630558
Unataja aya yanini hali yakuwa wewe sio muisilamu?Kwani kuna Aya inayowazuia wanawake kuwa ma Imamu?
Wacheni udikteta katika Dini.
La. Sivyo wekeni andiko linalo wakataza wanawake kuwa ma imamu.
Imamu kwa kiswahili ni kiongozi mwanamke hafai kuwaongoza wanaume sio kwenye swala tuipo hivi, sala ni dua, ni unyenyekevu, na mawasiliano kati ya mwanadamu na muumba wake, sala inahitaji utulivu wa akili na haipaswi kuingiliwa na jambo lolote,
katika uislam sisi wanaume tunaamrishwa kuinamisha vichwa chni tuonapo mwanamke mbele yetu ambaye si mkeo na ambaye kwako wewe inafaa kumuoa, quran 24:30
Hapohapo quran 24:31 inawakataza wanawake kuonyesha maungo yao na kujisitiri maungo yao, na wainamishe nyuso zao mbele ya mwanaume.
vilevile mafundisho ya kiislam hayaruhusu mwanamke kuvaa nguo ambazo ni kishawishi kwa mwanaume, mfano zenye kitambaa chepesi ama cha mpira chenye kuweza kuchora umbo lake
sasa katika hali ya kawaida kaa chini fikiria wewe mwenyewe je inafaa kumfanya mwanamke kuwa imam
Na kwa ufupi katika uislam mwanaume ndio kiongozi daima, imamu ni kiongozi
Katika uisilamu neno imamu maana yake kiongozi rais mbunge waziri diwani mwalimu mkuu nk nafasi hizi zitamuhusu mwanamke kuwaongoza wanawake wenzie sio kuwaongoza wanaume hakuwa rais kama mama samia hali ya kuwa midume imekubali kuongozwa na mama utafanyaje,lakini vitabakia kuwa haramu tuLakini mbona wako msikitini[emoji848][emoji848], na anatumia aya za Quran kuswalisha
Mama anaongoza na watu kimyah!Katika uisilamu neno imamu maana yake kiongozi rais mbunge waziri diwani mwalimu mkuu nk nafasi hizi zitamuhusu mwanamke kuwaongoza wanawake wenzie sio kuwaongoza wanaume hakuwa rais kama mama samia hali ya kuwa midume imekubali kuongozwa na mama utafanyaje,lakini vitabakia kuwa haramu tu
Kama madume na ndevu zao na mizinga yao na vifaru via wamekubali mama kuwa imamu wao wawe mamuma wewe husie na nguvu kama mimi hata panga sina hata ni kikataa kazi bule,lakini haina maana kuwa uisilamu qur,an himeridhia mwanamke kuwa imamu wa wanaume lah bali hitabaki kuwa haramu tu mwana mama kuwa swalisha wanaumeMama anaongoza na watu kimyah!
Mwanamke ni binadamu,mbona wewe kama mwanamke audi kumposa mwanaume?mbona wewe kila mwezi unatokwa damu wanaume hawatokwi damu mbona husemi huo ni ubaguzi?mbona wewe unabeba mimba wanaume hawabebi mimba mbona husemi ubaguzi?mbona unakojoa umechuchumaa wanaume wana simama wewe ukikojoa hume simama hicho kimini chako chote kitaloa kwa mikojo mbona usemi ubaguzi?ukweli unaujua tu ila ushenzi tu ndio unao kusumbuaHii dini ni ya kibaguzi Sana sijawahi kuona. Kwani mwanamke sio binadamu?
Kibura ndio nn?Inafaa au haifai??
Hacha kusilimu binamu wa 2 kuumbwa halikuwa mwanamke,mbono ujiulizi kwanini alieumbwa kwa udongo halikuwa mwanaume hasiwe mwanamke?mbona usemi huo ni ubaguzi?kuwa 1 kusilimu hakumpi uhalali wa kuongoza wanaumeBINADAMU WA KWANZA KUSLIMU DUNIANI ALIKUWA MWANAMKE
Hacha kusilimu binamu wa 2 kuumbwa halikuwa mwanamke,mbono ujiulizi kwanini alieumbwa kwa udongo halikuwa mwanaume hasiwe mwanamke?mbona usemi huo ni ubaguzi?kuwa 1 kusilimu hakumpi uhalali wa kuongoza wanaume
Hacha kusilimu binamu wa 2 kuumbwa halikuwa mwanamke,mbono ujiulizi kwanini alieumbwa kwa udongo halikuwa mwanaume hasiwe mwanamke?mbona usemi huo ni ubaguzi?kuwa 1 kusilimu hakumpi uhalali wa kuongoza wanaume