Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani