Wanamalizana lodgeMasikini ya Mungu 🤔
Sasa baba anakulaje tunda? Na mchezo ukifika kasarani mama ananyongwa au inakuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamalizana lodgeMasikini ya Mungu 🤔
Sasa baba anakulaje tunda? Na mchezo ukifika kasarani mama ananyongwa au inakuaje
. Wamepangisha = wamiliki wa nyumba??Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
Duh hata kama maisha ni magumu ila hiyo sio poa,yaani madogo wazazi wao tukibadisha nguo wanatuona?Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
Kwa wiki au mwezi wanaenda mara ngapi? Kwanini hiyo hela ya kwenda lodge wasipange vyumba vingine viwili kwaajili ya watotoWanamalizana lodge
Wanapotafuta mtoto mwingineKwa wiki au mwezi wanaenda mara ngapi? Kwanini hiyo hela ya kwenda lodge wasipange vyumba vingine viwili kwaajili ya watoto
Itakuwa Dodoma hiyoKuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
Hilo jeehi lote pamoja na umasikini wao bado wanaendelea kuongeza watotoWanapotafuta mtoto mwingine
Wewe mpumbavu sana, kwani hao wanaoishi kwenye hicho chumba kimoja ndo watawala wa Tanzania na ndo viongozi wa CCM?Una maanisha chumba kimoja au nyumba moja?
Inawezekana kweli watu 9 wakaishi kwenye chumba kimoja? Kama ni hivyo basi ccm ilaaniwe milele.
Ccm ni laana, ni takataka, ni cancer inayoua ndoto za kizazi kijacho cha Watanzania.Wewe mpumbavu sana, kwani hao wanaoishi kwenye hicho chumba kimoja ndo watawala wa Tanzania na ndo viongozi wa CCM?
Wewe masikini unaacha kufanya kazi unawaza eti CCM ndo imewapangishia hicho chumba?
Bure kabisa.
Inawezekana mkuu, nimeona kwa macho yangu.Una maanisha chumba kimoja au nyumba moja?
Inawezekana kweli watu 9 wakaishi kwenye chumba kimoja? Kama ni hivyo basi ccm ilaaniwe milele.
Fata mambo yako yalokupeleka mjini mkuuKuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
ishu siyo hesabu jibu swali hata kama mngekua watatu?Unajua hesabu?
Kuna muda watu hawaishi kama wanavyotaka bali wanaishi kama wanavyo afford.Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,