Je hii ni sawa? Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja

Je hii ni sawa? Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja

Una maanisha chumba kimoja au nyumba moja?

Inawezekana kweli watu 9 wakaishi kwenye chumba kimoja? Kama ni hivyo basi ccm ilaaniwe milele.
Usishangae ndio hali ilivyo halafu mchana wanakaa nje tu kuwachora wanaopita njia na kuanza kuwasema vibaya yaan kila anaepita wanakaa kumzungumzia cha ajabu usiku ukiingia wanaingia kurundikana kwenye chumba kimoja
 
Unaweza usiamini but trust me haya mambo yapo, lakini hamna jipya chini ya jua tafuta hela
Hao wapo sana kuna sehemu moja wamepanga chumba wote wanaume watu wazima wapo km 8 hivi chumba cha giza tupu usiku wanaongea sijui kiCongo sijui kirundi lugha haieleweki na ukisikia wanaongea hio lugha jua wanakuteta uliepita yaan wamepangana hapo nje kuwasema wanaopita njia usiku ukiingia wanaingia kurundikana ndani km magunia gizani kwenye mbu mchana hawakai ndani chumba hakina sealing board kwa hio bati likipigwa na jua humo ndani ni fukuto
 
Una maanisha chumba kimoja au nyumba moja?

Inawezekana kweli watu 9 wakaishi kwenye chumba kimoja? Kama ni hivyo basi ccm ilaaniwe milele.
Nimeishi mabibo , kuna jamaa alikuwa anaishi na familia yake , wako watano (baba,mama na watoto 3) ..Walipanga chumba kimoja tu , walikigawa kwa kuweka kama pazia , ndani kuna kila kitu mpaka majiko wanaweka huko .

Wanapendana sana na mkewa , wote ni wapambanaji yaani wanatoka asubuhi na kurudi jioni .
 
Chumba kimoja watu tisa hawawezi kukaa,labda uchunguze tena vizuri.
 
Masikini ya Mungu 🤔

Sasa baba anakulaje tunda? Na mchezo ukifika kasarani mama ananyongwa au inakuaje
 
Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,

tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.

Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.

Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
Umewahi kuingia ndani ukaona mazingira yamekaaje?
Huenda ni chumba kikubwa km sebule wamegawa partition kutokana na uchumi wao. Hawako tayari kua mzigo kwa mtu. Wanahitaj msaada, mtu mwema akijitolea kuwapangishia chumba watakaa
 
Back
Top Bottom