Leta codeDuh... Mbona tumeanza kuishi maisha ya wakenya sasa kama tumefikia huku
Nipo Bush kiongozi net ipo chiniLeta code
PoaNipo Bush kiongozi net ipo chini
Kuwa siriazi ndugu yangu. Embu tufafanulie hapo, kwamba chumba kimoja watu 9.!, ni chumba kikubwa kama hostel za bweni au kama haya mageto yetu huku street?chumba kimoja tu.
Shida yako ni nini sasa?Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
Hapa umetumia kiswahili cha kiZanzibari, kichwa cha habari kimenichanganya isee!Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote
Hii iliwahi kutokea kwetu mwaka Jana Kuna familiar walikuja kupanga home walipanga chumba na sebure ila walikua baba mama na watoto watatu mama mkwe na ndg wakike wawili na mmoja kati Yao ana mtoto Yan kama watu kumi na Moja kwenye vyumba viwili, ila umasikini ndo chanzo Cha yoteKuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
Hapa umetumia kiswahili cha kiZanzibari, kichwa cha habari kimenichanganya isee!
Mkuu unaelewa maana ya kupangisha?
Huyo kapanga bhana.
Uamuzi mzuri kulala mtoto kwa jiran ndo chanzo cha kubakwaKuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Kaja mama mkwe nae anaumwa umwa nae pia anauguzwa na anaishi hapo.
Hawataki mtoto yoyote kulala kwa jirani
HahahaUna maanisha chumba kimoja au nyumba moja?
Inawezekana kweli watu 9 wakaishi kwenye chumba kimoja? Kama ni hivyo basi ccm ilaaniwe milele.
nyumba za urith rahaTandale tan ESCO nyumba ya urithi ndugu wote kila mtu kapewa chumba chake, lkn wazee wale wameoa wana watoto sasa sijui wanalala kumbini au koridoni na ni watu wana 50+ na wana wajukuu wengine mpk from foo wamemaliza
Mm hapo sishangai kabisa
sasa apo ccm imefanyaje😂😂😂Una maanisha chumba kimoja au nyumba moja?
Inawezekana kweli watu 9 wakaishi kwenye chumba kimoja? Kama ni hivyo basi ccm ilaaniwe milele.
Wamekushitukia mkuu, unataka binti wa miaka 15 aje kulala kwako ujipigie tu?Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,