Je hii ni sawa? Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja

. Wamepangisha = wamiliki wa nyumba??

Au

. Wamepanga = wamekodi pango/nyumba ili kuishi kwa mda Fulani???
 
Duh hata kama maisha ni magumu ila hiyo sio poa,yaani madogo wazazi wao tukibadisha nguo wanatuona?
 
Itakuwa Dodoma hiyo
 
Una maanisha chumba kimoja au nyumba moja?

Inawezekana kweli watu 9 wakaishi kwenye chumba kimoja? Kama ni hivyo basi ccm ilaaniwe milele.
Wewe mpumbavu sana, kwani hao wanaoishi kwenye hicho chumba kimoja ndo watawala wa Tanzania na ndo viongozi wa CCM?
Wewe masikini unaacha kufanya kazi unawaza eti CCM ndo imewapangishia hicho chumba?
Bure kabisa.
 
Wewe mpumbavu sana, kwani hao wanaoishi kwenye hicho chumba kimoja ndo watawala wa Tanzania na ndo viongozi wa CCM?
Wewe masikini unaacha kufanya kazi unawaza eti CCM ndo imewapangishia hicho chumba?
Bure kabisa.
Ccm ni laana, ni takataka, ni cancer inayoua ndoto za kizazi kijacho cha Watanzania.
 
Fata mambo yako yalokupeleka mjini mkuu
 
Hapo afisa ustawi alitakiwa aongee na hiyo familia kuna watu huwa akili zao zimelala, ila wakishauriwa na kusaidiwa kidogo maisha yanaweza badirika. Kuendelea kuishi wanavyoishi wataharibu hata hao watoto umaskini utaendelea kukita mizizi kwenye hiyo kaya. Huyo mzee apunguze safari za kwenda uchini afanye mambo mengine
 
Kuna muda watu hawaishi kama wanavyotaka bali wanaishi kama wanavyo afford.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…