Je hii ni sawa? Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja

Tafuta kazi ufanye mkuu
 
Ndo maana wengine wakioa wake zao na watoto watakuwa kijijini kwanza kikubwa kuelewana tuu..,.. hizo kadhia unashindwa hata kukaa uchi


Kuvaa watoto wafumbe macho
Aseeh so poa kabisa
 
Sawa hayo mambo yao wenyewe hayakuhusu,nakuhisi kuna kitu unawaza kwahiyo umeamua kuja humu kujifanya unawahurumia...
 
Ni sawa kabisaaa.... Nikukumbushe zipo familia zinalala nje hawana makazi.kila mtu atapata majaribu ya aina yake ni Jambo zuri familia ikisimama nawe wakati huo. Mwamba anapambana na familia inamtumainia. Misuko suko ni kawaida kwa mpambanaji.
Nimependa ulichokiandika 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…