Wapewe adhabuu hapo ni sawa na wamevaa jezi za mamelod.Salaam wakuu.
Hivi sasa tunaona serikali na wadau mbalimbali wakitoa support kwa timu za mpira za simba na yanga kuelekea michezo yao ya robo fainali klabu bingwa barani afrika.
Inatokea media yenye waandishi wa mchongo na kupost maneno yenye ukakasi yasiyo na chembe ya kutia moyo timu za nyumbani licha ya hali halisi.
Hii sio sawa kwa media kubwa kama EAST AFRICA RADIO/TV KUPUBLISH UJINGA HUU.
Haijakaa kitaalamuView attachment 2940741
Kwenye mpira Tanzania kuna "Watani wa Jadi".Salaam wakuu.
Hivi sasa tunaona serikali na wadau mbalimbali wakitoa support kwa timu za mpira za simba na yanga kuelekea michezo yao ya robo fainali klabu bingwa barani afrika.
Inatokea media yenye waandishi wa mchongo na kupost maneno yenye ukakasi yasiyo na chembe ya kutia moyo timu za nyumbani licha ya hali halisi.
Hii sio sawa kwa media kubwa kama EAST AFRICA RADIO/TV KUPUBLISH UJINGA HUU.
Haijakaa kitaalamuView attachment 2940741
Na bora ukae kimya.Ngoja nikae na utabiri wangu moyoni....watanzania sio watu wa kuwaambia kitu...watakushushia mvua za maneno mpk utabiri utavurugika... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Chombo cha habari kinatakiwa kuwasilisha maoni ya washabiki.Kwahyo chombo cha habari cha Tanzania kinatakiwa kusimamia upande gani.
We jamaa inavyoonekana ni hata hujui misingi ya vyombo vya habari.Chombo cha habari kinatakiwa kuwasilisha maoni ya washabiki.
Washabiki wakiichoka timu ya nyumbani na kushangilia timu ya kigeni, hiyo ni haki yao.
Tafuta sababu kwa nini wamefanya hivyo, utibu chanzo cha ugonjwa, si utake kutibu dalili za ugonjwa.
Mgonjwa akiwa na TB, anakohoa, wewe unampa Cofta kupunguza kikohozi, badala ya kutibu TB, hapo utakuwa unafanya kazi ya bure tu.