Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #21
Amna mkuu, mi ni rafiki tu wa aliekuwa mwenye mke. I mean sihusiki na chochote kati yao.Wewe umemfanyia mwenzio kitu si bure..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna mkuu, mi ni rafiki tu wa aliekuwa mwenye mke. I mean sihusiki na chochote kati yao.Wewe umemfanyia mwenzio kitu si bure..
Hahaha 😂😂😂 hii ndo JF mkuu au ww hauijuiHizi spana Dah!![emoji3][emoji3]
Ili arudishe heshima ya ndoa atafute mafuta ya ndege (haya mpaka ATCL) achanganye na mafuta ya nyonyo kisha anywe nusu saa kabla ya kuingia dimbani.Habari zenu wana JF wenzangu.. Ama baada ya salam naomba nijielekeze kwenye mada husika. Kuna rafiki yang mmoja anaitwa J (nimekatiza jina lake kwa sababu ya heshima na usalama wake). Sasa huyo J na yeye anamshikaji wake ambae walipanga nae nyumba 1 mitaa fulani (jina kapuni) J aliowa mwaka uliyopita, akamleta mkewe hapa jozi ili waishi nae pamoja. Kabla hata miezi 6 ya ndoa haijaisha, J akaanza kulalamika kuwa mkewe anaonekana hana uaminifu na ndoa yao. Kuja kuchunguza tukagundua kama kuna ukweli fulani, ikabidi mimi na yule rafiki yake na J tuwe kama wasuluhishi wa ugomvi wao mara kwa mara. J akaona hali inazidi kuwa mbaya ikabidi ampe talaka mkewe kwa kushauriwa na yule rafiki yake mungine, na kumrudisha nyumbani. Kama walivyosema waswahili kuwa "kikulacho kipo nguoni mwako" baada ya miezi miwili ya talaka, yule rafiki yake na J akamchumbia yule aliekuwa mke wa J kimya kimya, na kufunga nae ndoa tena kimya kimya. Waswahili walishasema kuwa "la kuvunda halina ubani". Baada ya ndoa kabla jamaa hajamfikisha hapa huyo mkewe ambae alikuwa shemeji yake, taarifa zikaanza kusambaa na kutufikia mimi na J mwenyewe. J alipomuuliza jamaa, akakataa akisema eti huo ni uzushi tu na kwamba kamwe hawezi kufanya uchafu kama huo katika maisha yake. Ghafla jamaa akahama nyumba mpaka mtaa, yani akahamia mbali na mahali ambapo itakuwa ngumu kuonekana. Baada ya kuhama, mara mkewe akafika, kuchunguza ikaonekana kweli jamaa kamuowa shemeji yake aliekuwa mke wa J. Jamaa siku ya kwanza katwanga kinu cha mkewe kwa masham sham na furaha tele kama kawaida, siku ya pili pia mchana na usiku inasemekana katwanga fresh, ya tatu mtwangio wa jamaa ukagoma, yani ukalegea ukawa hausimami hata ukiubust na jeki. Jamaa amejitahidi kwa kadri awezavyo kurudisha uhai wa mtwangio wake imeshindikana. Sasa jamaa ameanza kulalamika kwa watu, kuwa eti aliekuwa rafiki yake kipenzi ndugu J amemroga ili kumkomoa, na kwamba atafanya kila awezalo kuujua ukweli na kulipiza kisasi kwa yeyote aliemsabishia yeye fedheha mbele ya mkewe. Ila wenye kujua kinachoendelea tunahisi hii inaweza kuwa ni karma ya kujaribu kupindua meza ya mwenzake (J) na kwamba karma hiyo itamtafuna hadi aende kumuangukia muhusika, na kuomba msamaha. Sasa wana JF wenzangu, nyinyi hili swala mnalionaje? Ni karma hii, au kuna uchawi umetumika hapo? Sababu J mwenyewe nikimuuliza, anasema binafsi hafahamu hata huo uchawi huwa unaptikana vipi na unatumikaje. So wengi hatuelewi zaidi nini kinaendelea mpaka jamaa kuwa vile. Karibuni ndugu kwa michango yenu. Ushauri: Wabongo wenzangu wa kiume tuachane tamaa, Mungu kaumba wanawake wengi kwa ajili yetu, kwahiyo tujiepushe kuchukuliana wanawake au wake wenyewe kwa wenyewe.
Siri ipi mkuu au haujaelewa vizuri uzi?
Jamaa hali imemzidia, sasa kaanza kulalamika kwa baadhi ya rafiki zake ambao wamemfikishia taarifa J. Wakitegemea kama J kamroga anaweza kumuonea huruma au akaogopa kwamba jamaa atamlipizia kisasi. So J nae kanihadisia na mimi.Hii ni siri ya ndani sana baina ya Jamaa na Mkewe, wewe umeijuaje Mkuu?
Huu ushauri wako ni mzuri na pengine unaweza kuwa msaada kwake, badala ya kulalamika na kung'ang'ania kuwa karogwa.Embu ajaribu kumbadili mwammke aone majibu ikifanya Kaz bas atimke
Aisee mkuu wewe unafaa kuwa mwalimu, ukafundisha watu na kukuelewa. Tatizo la hapa JF ukileta uzi wa aina hii, tegemea kukumbana na majibu ya aina tofauti ikiwemo hiyo ya mtu kigeuza maana nzima ya kile kilichoandikwa nk. Kifupi jamaa alizingua kweli kweli, mpaka sasa tukashangaa kutokana na J alivyokuwa anamheshimu na kumuamini sana huyo jamaa, hakutakiwa kumtendea vile. Kwa haya uliyoandika nina imani kuna wenye akili watakuwa wamekuelewa vizuri na kuzingatia kile ulichoandika. Shukran sana mkuu kwa mchango wako wenye kujenga hapa JF.Tuwe tunatoa ushauri awe yeye asiwe yeye bado hatutomjua kikubwa hataki masimango anataka hilo swala lipewe majibu aone limekaaje ili atatue na aridhike kwa kuwianisha kati ya majibu yake na yetu.
Mimi naona hivi kwa hilo swala , kwanza huyo jamaa kakosea kutembea na mwanamke wa mwenzie.
Kama wewe ni kijana kama mimi usije tembea na mwanamke wa mwenzio kama ni binti jiepushe na kutembea na mpenzi wa mpenzi wako.
Uadui wa sababu ya mapenzi huwa hauiishiiii hadi mnakufa ht mtu akisamehe ila kuna ile kitu haielezeki mtaongeaongea kawaida mpaka mnakufa ili ukizngua tu chuki inachupuka mnaweza uwana.
Kwa mimi navyoliona hilo jambo huyo jamaa amepigwa na karma vilevile J.J kafanya yake kasindikizia hapo hapo na kafanya vizuri .
niliwahi pata rafiki kama aliempata J.J yani ukipata demu ukimtambulisha anafurahi ukimpa simu anaiba na no z shemeji zk ila wakiwa barabarani hawaoni.
nilimchana huo ufala apeleke huko hlfu ukipata mwanamke usimzoeshe awajue sana rafiki zako hata kama ni mke mtenge na uweke mipaka mtu unamuacha mpaka wanacheza mara anamfata. Kama huna pochi mtembeze mwanamke yupo suitble na mzngira yyte intgemea n unvyomlea hswa ukiona anakupenda km n usafiri ht km rfik ana gari lake lzm umfate wewe bora aje kwa mguu,boda au uber.
Anywe mafuta ya ndege? You can't be serious mkuu. Afu mafuta ya nyonyo ndo yepi hayo mkuu au unamaanisha maziwa ya mama anaenyonyesha?Ili arudishe heshima ya ndoa atafute mafuta ya ndege (haya mpaka ATCL) achanganye na mafuta ya nyonyo kisha anywe nusu saa kabla ya kuingia dimbani.
Kwa hiyo mwamba umenyang'anywa mke? Pole aisee! Ila sasa na wewe si utafute mwingine kama unaona wanawake wapo wengi!Habari zenu wana JF wenzangu.. Ama baada ya salam naomba nijielekeze kwenye mada husika. Kuna rafiki yang mmoja anaitwa J (nimekatiza jina lake kwa sababu ya heshima na usalama wake). Sasa huyo J na yeye anamshikaji wake ambae walipanga nae nyumba 1 mitaa fulani (jina kapuni) J aliowa mwaka uliyopita, akamleta mkewe hapa jozi ili waishi nae pamoja. Kabla hata miezi 6 ya ndoa haijaisha, J akaanza kulalamika kuwa mkewe anaonekana hana uaminifu na ndoa yao. Kuja kuchunguza tukagundua kama kuna ukweli fulani, ikabidi mimi na yule rafiki yake na J tuwe kama wasuluhishi wa ugomvi wao mara kwa mara. J akaona hali inazidi kuwa mbaya ikabidi ampe talaka mkewe kwa kushauriwa na yule rafiki yake mungine, na kumrudisha nyumbani. Kama walivyosema waswahili kuwa "kikulacho kipo nguoni mwako" baada ya miezi miwili ya talaka, yule rafiki yake na J akamchumbia yule aliekuwa mke wa J kimya kimya, na kufunga nae ndoa tena kimya kimya. Waswahili walishasema kuwa "la kuvunda halina ubani". Baada ya ndoa kabla jamaa hajamfikisha hapa huyo mkewe ambae alikuwa shemeji yake, taarifa zikaanza kusambaa na kutufikia mimi na J mwenyewe. J alipomuuliza jamaa, akakataa akisema eti huo ni uzushi tu na kwamba kamwe hawezi kufanya uchafu kama huo katika maisha yake. Ghafla jamaa akahama nyumba mpaka mtaa, yani akahamia mbali na mahali ambapo itakuwa ngumu kuonekana. Baada ya kuhama, mara mkewe akafika, kuchunguza ikaonekana kweli jamaa kamuowa shemeji yake aliekuwa mke wa J. Jamaa siku ya kwanza katwanga kinu cha mkewe kwa masham sham na furaha tele kama kawaida, siku ya pili pia mchana na usiku inasemekana katwanga fresh, ya tatu mtwangio wa jamaa ukagoma, yani ukalegea ukawa hausimami hata ukiubust na jeki. Jamaa amejitahidi kwa kadri awezavyo kurudisha uhai wa mtwangio wake imeshindikana. Sasa jamaa ameanza kulalamika kwa watu, kuwa eti aliekuwa rafiki yake kipenzi ndugu J amemroga ili kumkomoa, na kwamba atafanya kila awezalo kuujua ukweli na kulipiza kisasi kwa yeyote aliemsabishia yeye fedheha mbele ya mkewe. Ila wenye kujua kinachoendelea tunahisi hii inaweza kuwa ni karma ya kujaribu kupindua meza ya mwenzake (J) na kwamba karma hiyo itamtafuna hadi aende kumuangukia muhusika, na kuomba msamaha. Sasa wana JF wenzangu, nyinyi hili swala mnalionaje? Ni karma hii, au kuna uchawi umetumika hapo? Sababu J mwenyewe nikimuuliza, anasema binafsi hafahamu hata huo uchawi huwa unaptikana vipi na unatumikaje. So wengi hatuelewi zaidi nini kinaendelea mpaka jamaa kuwa vile. Karibuni ndugu kwa michango yenu. Ushauri: Wabongo wenzangu wa kiume tuachane tamaa, Mungu kaumba wanawake wengi kwa ajili yetu, kwahiyo tujiepushe kuchukuliana wanawake au wake wenyewe kwa wenyewe.
Hapana mkuu.. mwenye tatizo hakunihadithia mimi, bali alipoona tatizo linazidi akawaambia jamaa zake ili wampe msaada, ndo jamaa wakalifikisha swala hilo kimya kimya kwa aliekuwa mume wa mwanamke ambae mi ni rafiki yangu. Na ili kupata msaada ikabidi wamwambie J kila kitu mpaka tatizo lilipoanzia. Ila J akawaambia yeye hajui na wala hausiki na chochote kuhusu hayo yaliomkuta jamaa, japo walipiga mkwara kuwa jamaa kasema akigundua kuwa kuna mkono wa J katika tatizo lake atalipiza kisasi.umejuaje masuala yao chumbani. Yaani mtu akae akuhadithie Kila kitu hadi nukta
Mkuu achana nae huyo. Uzi uko wazi kuwa mimi ni rafiki wa J ambae mke wake ndo alikuwa anagongwa na huyo jamaa aliepata tatizo sasa hivi. Kwa vile tatizo limekuwa kubwa jamaa kaanza kuwambia watu ili apate msaada, taarifa zimemfikia J na mimi pia. Sasa tunaofahamu jambo hili hatujui kama ni kurogwa au karma imetumika, ndo maana nimekuja kwa wajuzi humu ili kujua kinachomsibu jamaa maana huenda kuna watu yashawakuta haya. Cha ajabu jamaa ananigeuzia mleta mada kibao kuwa ndio muhusika wa tatizo, na wakati mi nina mke na watoto wawili.Huyu jamaa sio yeye kwa sababu kwa nini aulize KWA nini ?jamaa hasimamishi kama anajua hilo kwhyo kaja kututega humu au akili zako zimelala.
Mkuu unahisi kuhama mkoa inaweza kumsaidia au inabidi kama kalogewa Zanzibar na yeye aende Zanzibar? Na kama ni karma je hapo afanye vipi?Akikulogea pangani kamlogee uko uko we umelogewa zanzibar umetupiwa jini shoga kazi ipoo utaliwa siku si nyingii,ilimpasa ahame mkoa
Hahaha 😂😂 japo ushauri wako upo nje ya kilichoandikwa, sema sio mbaya kuuzingatia mkuu.Kwa hiyo mwamba umenyang'anywa mke? Pole aisee! Ila sasa na wewe si utafute mwingine kama unaona wanawake wapo wengi!
Inawezekana mkuu, japo binafsi nilifikiri inaweza kuwa ni karma.UCHAWI HUO
Ushauri wako naona kama ni mzuri, ila unafikiri msamaha tu peke yake utatosha au jamaa atalazimika tu kumwacha na mke kabisa ili aowe mke mungine?Amuombe jamaa msamaha yaishe, na yakiisha akirudia tena watabanana kama mbwa.
Sent using Jamii Forums mobile app