Je, hili gonjwa lililompata mshikaji wetu ni karma au uchawi?

Je, hili gonjwa lililompata mshikaji wetu ni karma au uchawi?

Na vipi isipofanya kaz uko atakapoenda hiyo fedheha ataificha wapi? Si bora mkewe atamfichia hyo aibu
Ya bora mkewe kwa vile anaelewa tatizo lilipoanzia anaweza kumfichia aibu, ila mwanamk mungine hatoweza kumuelewa kbs tena anaweza kumtangaza vibaya mitaani. Nina imani jamaa asipopona hata mkewe pia atamkimbia kimya kimya.
 
Kwani huyo J si kamuacha huyo mwanamke! Amfungue mwenzake bhn sometimes sio kila ushauri tunabeba tu
Kilichomuuma ni kwa sababu kafanyiwa ushenzi huo na mtu wake wa karibu tena aliekuwa akimshirikisha kwenye ugomvi wake na mke wake. Pia J alitumia gharama kubwa kwenye mahari, harusi, pasi ya kusafiria, nauli na matumizi mengine ya njiani afu mke hakumaliza nae hata mwaka na nusu kaanza vitimbi vilivyosababisha amwache na kutumia gharama nyingine kumrudisha Tz kwa wazazi wake. So hapa nafikiri ni jamaa ndo anatakiwa akamlilie J na kumuomba msamaha ili amsamehe, ila kama ni uchawi sidhani kama J ataweza msamehe jamaa hivi hivi bila muhusika kwenda kumuangukia J amsamehe.
 
Mawili akaombe msamaha na mke aachane nae, maan kuachana na mke bila kwenda kuomba msamaha haitasaidia unaweza kwenda kwingine hali ikawa hivyo hivyo. Hivyo la kwanza akatubu toka moyoni uchafu wake na iwe fundisho maishani mwake
Hili ndo wengi wanashauri, japo hatujui kama jamaa atachukua ushauri huu au bado ataendelea kumsikilizia jogoo wake kama atazinduka usingizini.
 
Acheni kulala na wake za wanaume wenzenu, katika vitu vinaweza kukubadilishia maisha kabisa ni kulala na mke wa mwanaume mwenzako.

Kuna watu wanaijua revenge Acha kabisa, kuna wanaume wanajua kutoa revenge sio poa. Binafsi mke wa mtu NEVER!
Kweli mkuu, ndio maana wahenga waliwahi kuonya kuwa mke wa mtu ni sumu. Dah jamaa yamemkuta yaliomkuta, sasa anajuta.
 
Story inakuhusu, yes haiwezekani ujue mambo ya ndani ya mtu kiivyo, pole acha tamaa sasa baada mjegeje kufeli, ubongo ndio unafuata kaa kimasta
 
Story inakuhusu, yes haiwezekani ujue mambo ya ndani ya mtu kiivyo, pole acha tamaa sasa baada mjegeje kufeli, ubongo ndio unafuata kaa kimasta
Amna mkuu, mimi nilileta tu taarifa niliyopewa. Wala sio muhusika mkuu wa jambo lenyewe.
 
Kurukaruka siyo dawa ya ulimbo,nyoosha maelezo wewe umemzunguka mshikaji sasa yamekukuta,na dawa pekee mbong'olee mshikaji akuwashe japo kimoko tu mambo fresh na usirudie tena huo uhayawani.
 
vipi ilikuwaje aseee
Jamaa alishindwa kuendelea na ndoa. Ilibidi amrudishe mwanamk kwao na yeye kwenda kwa mtaalam. Asa hivi kijongoo chake kinatambaa kama kawaida hata bila touch kinaona shimo lake.
 
Sasa kamkomoa ni sawa tu ,yeye si kaowa mke wake Tena kaulizwa kakataa hata mtaa kahama, Haina budi kukomoana ...kakataa hajaowa shemeji mtu,na yeye kakataa hakumfanyia uchawi....ni mwendo wa kukataa tu...
 
Sasa kamkomoa ni sawa tu ,yeye si kaowa mke wake Tena kaulizwa kakataa hata mtaa kahama, Haina budi kukomoana ...kakataa hajaowa shemeji mtu,na yeye kakataa hakumfanyia uchawi....ni mwendo wa kukataa tu...
Yan ni sawa na mmoja kamwaga ugali na mwengine kamwaga mboga.
Mwendo wa bila bila tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom