Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #81
Ya bora mkewe kwa vile anaelewa tatizo lilipoanzia anaweza kumfichia aibu, ila mwanamk mungine hatoweza kumuelewa kbs tena anaweza kumtangaza vibaya mitaani. Nina imani jamaa asipopona hata mkewe pia atamkimbia kimya kimya.Na vipi isipofanya kaz uko atakapoenda hiyo fedheha ataificha wapi? Si bora mkewe atamfichia hyo aibu
Kilichomuuma ni kwa sababu kafanyiwa ushenzi huo na mtu wake wa karibu tena aliekuwa akimshirikisha kwenye ugomvi wake na mke wake. Pia J alitumia gharama kubwa kwenye mahari, harusi, pasi ya kusafiria, nauli na matumizi mengine ya njiani afu mke hakumaliza nae hata mwaka na nusu kaanza vitimbi vilivyosababisha amwache na kutumia gharama nyingine kumrudisha Tz kwa wazazi wake. So hapa nafikiri ni jamaa ndo anatakiwa akamlilie J na kumuomba msamaha ili amsamehe, ila kama ni uchawi sidhani kama J ataweza msamehe jamaa hivi hivi bila muhusika kwenda kumuangukia J amsamehe.Kwani huyo J si kamuacha huyo mwanamke! Amfungue mwenzake bhn sometimes sio kila ushauri tunabeba tu
Hili ndo wengi wanashauri, japo hatujui kama jamaa atachukua ushauri huu au bado ataendelea kumsikilizia jogoo wake kama atazinduka usingizini.Mawili akaombe msamaha na mke aachane nae, maan kuachana na mke bila kwenda kuomba msamaha haitasaidia unaweza kwenda kwingine hali ikawa hivyo hivyo. Hivyo la kwanza akatubu toka moyoni uchafu wake na iwe fundisho maishani mwake
Kweli mkuu, ndio maana wahenga waliwahi kuonya kuwa mke wa mtu ni sumu. Dah jamaa yamemkuta yaliomkuta, sasa anajuta.Acheni kulala na wake za wanaume wenzenu, katika vitu vinaweza kukubadilishia maisha kabisa ni kulala na mke wa mwanaume mwenzako.
Kuna watu wanaijua revenge Acha kabisa, kuna wanaume wanajua kutoa revenge sio poa. Binafsi mke wa mtu NEVER!
Inawezekana unamfahamu victim mkuu, ila ndo hivyo jamaa kamwaga mboga na J akamwaga ugali.hii story kama naijua hivi
ila mwanangu J hajafanya poa
Naomba samari pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!Wewe umemfanyia mwenzio kitu si bure..
Hahahaha.. mkuu umepotea sana JF aisee...Naomba samari pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Amna mkuu, mimi nilileta tu taarifa niliyopewa. Wala sio muhusika mkuu wa jambo lenyewe.Story inakuhusu, yes haiwezekani ujue mambo ya ndani ya mtu kiivyo, pole acha tamaa sasa baada mjegeje kufeli, ubongo ndio unafuata kaa kimasta
Weee Mie mbona nipo sana humu!! Tutakua tunapishana labda!Hahahaha.. mkuu umepotea sana JF aisee...
Yah ok, basi huwa tunapishana pishana kama mchungaji anapopishana na sheikh kweny mlango wa msikiti πππ€£Weee Mie mbona nipo sana humu!! Tutakua tunapishana labda!
vipi ilikuwaje aseeeYah ok, basi huwa tunapishana pishana kama mchungaji anapopishana na sheikh kweny mlango wa msikiti [emoji23][emoji23][emoji1787]
Jamaa alishindwa kuendelea na ndoa. Ilibidi amrudishe mwanamk kwao na yeye kwenda kwa mtaalam. Asa hivi kijongoo chake kinatambaa kama kawaida hata bila touch kinaona shimo lake.vipi ilikuwaje aseee
Yan ni sawa na mmoja kamwaga ugali na mwengine kamwaga mboga.Sasa kamkomoa ni sawa tu ,yeye si kaowa mke wake Tena kaulizwa kakataa hata mtaa kahama, Haina budi kukomoana ...kakataa hajaowa shemeji mtu,na yeye kakataa hakumfanyia uchawi....ni mwendo wa kukataa tu...