Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Mimi nimeexperience kinyumeHabari ya uzima wana JF moja kwa moja niingie ktk mada bila ya kupoteza muda Je..? umewahi kuachwa na bus au kuchelewa kufika stendi kwaajili ya safari na ukakuta bus limesha ondoka kisha ukatumia bodaboda kufukuzia bus embu tueleze ilikuaje na gharama za kulifukuza zilikua kiasi gani.
Mimi niliachwa na bus enzi zile stendi ipo ubungo nilikua naelekea dodoma na bus ya Al-Saedy tiketi iliandikwa safari inaanza saa 10:00 asubuhi nafika pale majira ya saa 3:50 asubuhi naambiwa gari imeshaondoka muda si mrefu nilivurugwa ikabidi nichukue namba za konda akaniambia hawako mbali nichukue bodaboda wao wataenda mdogomdogo, chap nikavuta bodaboda nikaanza kuifukuzia nilikuja kuipata kibaha bodaboda ananiambia gharama yake nilibaki hoi ni bora ningeongezea kidogo nipande bus nyengine ikawa mzozo ila konda akalipa kwa kumuahidi nikifika dodoma nitamlipa maana pale sikua na kitu, nilipofika dodoma nikamkimbia sikumlipa kitu.
Je wewe ilishawahi kukutokea tueleze ilivyokua ...
Duhh inamaana waliingia nizani ndio ukawaoata bila ya mizani ya himo ungeendelea kumfukuza, lakini boda alikuambia umlipe kiasi gani?Happy Nation iliniacha Moshi kila bodaboda akimpigia honi dereva asimame akajifanya hamnazo hadi Himo.
Kulikuwa na vitu vyangu vya thamani kwenye bus hilo.
Wapuuzi sana
Huo ndio ujanja wa mjini Siku hizi kudhulumu watu,Ndo ujanja huo??! Kudhulumu mwenzako unajisifia!!!!
kama alikua ameweka mizigo yakeGharama ya kufukuza basi kwa boda Bora ununue tiketi ingine panda basi la nyuma
huwa vishoka wanatumia maneno ya ushawishi ukiwasikiliza imekula kwako, ila hiyo point ya kutokata tiketi mpaka uingie ndani ya bus ni muhimu zaidi.Mimi nimeexperience kinyume
Nishawahi kukata tiketi gari la kuelekea Dodoma (nadhani ilikuwa alsaedy au super champion)
Nimekata tiketi saa 2 na walisema litaondoka saa 2 ยฝ, kibaya naingia ndani nakuta abiria kama watano tu nikasema leo nimeyakanyaga
Nimejaribu kwenda Kwa konda akawa anakazia abiria wapo wengi tu wametoka nje na akanionyesha kitab Chao Cha tiketi kweli kilikuwa kinakaribia kujaa
Tukikaa kwenye gari kuanzia saa 2 hadi saa 5, kibaya zaidi gari lilikuwa lipo limewashwa likazimwa na wakalipaki pembeni kabisa kuonesha hakuna ratiba ya kuondoka
Kuna jamaa mmoja, akawafuata makonda akawaka sana na akawaambia wamrudishie nauli yake huku wengine tupo kimya tu tunasapoti kimoyomoyo
Jamaa wakataka kumrudishia Hela yake akagoma akasema yeye atakuwa wa mwisho kupewa, yaani Hela Kila mtu apewe nauli yake ili akapande gari lingine
Jamaa wakapagawa wakaamua kuanza safari.
NILICHOJIFUNZA
1. Hutakiwi kuwasikiliza maagent vishoka maana waliniongopea gari kama kimbinyiko, shabiby nk zimejaa kumbe uongo
2. Sikuwahi kukata tiketi mpaka niingie ndani ya gari nijirishishe kuwa lina abiria wa kutosha
3. Kusafiri na kampuni za uhakika sio magari mabovumabovu /ya zamani
Mimi nilikuwa nafukuzia shabiby ,Dodoma_Mbeya nililikuta sehemu inaitwa Iringa road jamaa kadai elfu ishirini!Wakati huo Dodoma _Mbeya Tsh28,000Hatari na nusu mkuu,Hawa bodaboda ndo maana wanapata ukilema,Mungu anawaona.Habari ya uzima wana JF moja kwa moja niingie ktk mada bila ya kupoteza muda Je..? umewahi kuachwa na bus au kuchelewa kufika stendi kwaajili ya safari na ukakuta bus limesha ondoka kisha ukatumia bodaboda kufukuzia bus embu tueleze ilikuaje na gharama za kulifukuza zilikua kiasi gani.
Mimi niliachwa na bus enzi zile stendi ipo Ubungo nilikuwa naelekea Dodoma na bus ya Al-Saedy tiketi iliandikwa safari inaanza saa 10:00 asubuhi nafika pale majira ya saa 3:50 asubuhi naambiwa gari imeshaondoka muda si mrefu nilivurugwa ikabidi nichukue namba za konda akaniambia hawako mbali nichukue bodaboda wao wataenda mdogomdogo, chap nikavuta bodaboda nikaanza kuifukuzia nilikuja kuipata kibaha bodaboda ananiambia gharama yake nilibaki hoi ni bora ningeongezea kidogo nipande bus nyingine ikawa mzozo ila konda akalipa kwa kumuahidi nikifika Dodoma nitamlipa maana pale sikuwa na kitu, nilipofika Dodoma nikamkimbia sikumlipa kitu.
Je wewe ilishawahi kukutokea tueleze ilivyokua ...
nilicho note hapa kutoka kwako ni kukata tiketi siku hiyohiyo ya safari, ila kuna badhi ya mikoa inahitajika ukate kabla ya tarehe ya tukio mfano mikoa ya kaskazini kipindi cha mwishoni mwa mwakaSijawah kutana na kadhia hiyo.. Maana akili yangu hata nikilala saa 8 usiku na niwe na ratba ya kuamka saa 10 Kamili alfajili basi ni uhakika saa kumi kasoro 10 au 5 ntashituka. Ingawa nina mpwa wangu huyo Kama kuachwa na mabasi basi katika maisha yake haipungui mara 10 na Mbanga zake ni hzo hzo za kufukuzia ba Bodaboda, Nilishamshaur aache kukata tiket badala yake awah stend mapema na apande basi analolikuta.
Shuhuda
Kuna siku nilikuwa nasafir toka DSM Kwenda Sumbawanga enzi hzo tunatokea Ubungo na basi la Majinja, Kuna Vijana wawili waliachwa na hilo basi na wakaanza fukuzia kwa boda mpaka pale walipotukuta maeneo ya Kibamba, Dogo mmoja alichanganyikiwa kias kwamba ile kafika tuu kwenye basi ni mbio hadi ndani na helmet kichuani, Sasa Boda kwa sautiii Naomba Helmet,,, dogo sina helmet yako banaaa.. yalikuwa majibizano ya sekunde kadhaa mpaka mim nilipoenda kumvua yule dogo helmet na kumrushia Boda aliyekuwa chin
๐๐ ukamuachia na laana huyo bodaboda, na wakati mwengine dereva wa bus au konda anafosi umpe hiyo pesa ambayo haina uhalisia nikama kamchezo fulani hiviMimi nilikuwa nafukuzia shabiby ,Dodoma_Mbeya nililikuta sehemu inaitwa Iringa road jamaa kadai elfu ishirini!Wakati huo Dodoma _Mbeya Tsh28,000Hatari na nusu mkuu,Hawa bodaboda ndo maana wanapata ukilema,Mungu anawaona.
Duhh juhudi zako hazikuzaa matunda pole sanaNiliwahi kuachwa na basi la Taqwa lililokuwa linafanya safari za Nairobi Dar es salaam. Nililazimika kukodi taxi kulifukuzia kutoa Nairobi kwa Dollar 100 wakati huo. Hata hivyo tulilikuta basi limeishavuka mpaka wa Namanga tayari kuelekea Arusha.
๐๐ mfukoni sikua na kitu, nilimvizia yupo bize na kushusha mizigo ya watu nikapotea zangu.๐๐ na hapo ukimkuta mwizi anapigwa unapeleka tairi? Wakati we mwenyewe kamwizi
10:00 umemaanisha saa 4 asubuhi, ila 3:50 umemaanisha saa tatu asubuhiHabari ya uzima wana JF moja kwa moja niingie ktk mada bila ya kupoteza muda Je..? umewahi kuachwa na bus au kuchelewa kufika stendi kwaajili ya safari na ukakuta bus limesha ondoka kisha ukatumia bodaboda kufukuzia bus embu tueleze ilikuaje na gharama za kulifukuza zilikua kiasi gani.
Mimi niliachwa na bus enzi zile stendi ipo Ubungo nilikuwa naelekea Dodoma na bus ya Al-Saedy tiketi iliandikwa safari inaanza saa 10:00 asubuhi nafika pale majira ya saa 3:50 asubuhi naambiwa gari imeshaondoka muda si mrefu nilivurugwa ikabidi nichukue namba za konda akaniambia hawako mbali nichukue bodaboda wao wataenda mdogomdogo, chap nikavuta bodaboda nikaanza kuifukuzia nilikuja kuipata kibaha bodaboda ananiambia gharama yake nilibaki hoi ni bora ningeongezea kidogo nipande bus nyingine ikawa mzozo ila konda akalipa kwa kumuahidi nikifika Dodoma nitamlipa maana pale sikuwa na kitu, nilipofika Dodoma nikamkimbia sikumlipa kitu.
Je wewe ilishawahi kukutokea tueleze ilivyokua ...
Mbona kama chai mkuu๐คฃNiliwahi kuachwa na basi la Taqwa lililokuwa linafanya safari za Nairobi Dar es salaam. Nililazimika kukodi taxi kulifukuzia kutoa Nairobi kwa Dollar 100 wakati huo. Hata hivyo tulilikuta basi limeishavuka mpaka wa Namanga tayari kuelekea Arusha.
bila ya kugundua kama plate namba nitofauti ungefika mpaka morogogoro na hiyo bodabodaHiki kitu nlikitambua baada ya kuwa nimefanya makosa ila nilijifunza. Mwaka jana mwishoni nilikata tiketi mtandaoni ya kwenda Mwanza kwa bus la kampuni ya Happy Nation, tiketi ilionesha bus linatoka pale Shekilango saa tisa kamili.
Nimefika Shekilango saa tisa kasoro nikiwa na bodaboda naambiwa bus limetoka hapa sasa hivi, nikaanza kulikimbiza lakini silipati, nikaenda mpaka Mbezi silioni maana nilikuwa natizama plate number za mabus ya kampuni hiyo ninayopishana nayo.
Kufika Mbezi naambiwa limeondoka nikaanza kulifukuza tena ila nikawa nashangaa mbona magari ninayoyapita hayana hii plate number?
Nikaja kugundua baadae kuwa plate number ya kwenye tiketi haikuwa plate number ya basi liliondoka๐๐๐๐,nikapanda bus lingine la kampuni hiyo mpaka Moro ndio nikakutana na bus la Mwanza, ila mpaka napata hilo bus lao jingine lililonifikisha Moro nilikuwa nimeshatoboka kinoma.
Na tangu hiyo siku nimeagana na safari kwa kutumia kampuni ya HAPPY NATION hata bure.
umeishtukiaje mkuu ?Mbona kama chai mkuu๐คฃ
Kukimbiza bus kwa dollar 100, au zamani sana maana hii dollar mia ya siku izi ni ndefu sanaumeishtukiaje mkuu ?