Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
- Thread starter
- #61
maranyingi huwa hawazingatii ratiba huwa wanawahi au wanachekewa zaidi ukilinganisha na muda wa tiketiInaonesha wenye mabasi ni waswahili, mleta mada nae alifika dakika 15 mapema lakini basi lilishaondoka. Hawazingatii muda wanaondoka tu kwa mihemko.