Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,902
Nimemshangaa kwelikweli...yeye anapima anaoamini yuko serious nao!Ndiyo unapima Mkuu kama unaijali afya yako.
Told him.Hayo ambayo ni ya kupita tu ndiyo huwa yanawaua, hiyo picha imefunguka yes ni ARV'S.
Yaani watu hawaogopi ngoma kabisa sipati picha wasi wasi alionao sasa hivi.Nimemshangaa kwelikweli...yeye anapima anaoamini yuko serious nao!
Na hiyo ndo mbaya, umdhaniye ndiye kumbe siye
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fanya haraka. Mnaopima mnatusaidia sana ambao hatupimi hata kwa kushikiwa bastola
Huuuhuuuu....utakuwa kiwembe we babuHapana... acha tu. Unaweza ukacheki afya yako ukajikuta uko poa... kesho ukafa kwa ajali!
Mi sipimi bali naishi kama mwathirika vile. Full kujilipua na misosi yenye akili...
Angekuwa hatumii ingekuwaje mkuu?Shukuru hata anatumia dawa kijana wangu
Wapime na watumie kinga.
Wengi huwa wanatumia kinga mwanzoni mbele ya safari wanaacha.
Okaay nimekuelewa Mkuu.Hujakosea mkuu, yaani kuna vigezo vingi saana kusema hii ni first line
Mseto uko affordable kwa kila mtanzania wizara imesema mseto iwe first line kwa sababu pia ili dawa iwe na sifa ya kuwa first line lazima kila mtu awe na uwezo wa kuinunua dawa.
Hizi ni taratibu za ki- sera tu
Duo cotexin haiko affordable kwa kila mtu japo ina uwezo mkubwa sana kutibu malaria ndio maana iko second line
Asante mkuu...... kuna mdau wasapu ananiambia hizo ni PEP je ni kweli?
Unatakiwa umuombe Mungu huku unajikinga sio unamuomba Mungu huku unafanya mistake za makusudi.
Nini maana ya kupima halafu utumie kinga tena? Huwezi shindana na uncertainity wewe.
Idealy mtu ukiwa negative Condom inawekwa pembeni nimekuuliza swali what if spouse wako amekua infected jana yake au akawa infected kesho yake baada ya kupima kwa mara ya pili na mkajiridhisha kuwa sasa mko fresh?
Huwezi pigana na adui ambaye haonekeni we cha msingi ni kumuomba Mungu mkeka wako usitiki.
Nimependa zaidi aya yako ya mwisho........sitaweza kumshitaki ila nitamuachia alama katika maisha yake hatokaa kuisahauHahahahahahahahahaaaaa
Eti marafiki zake wamekuta kichupa wamekichukua??? Wamekuja kuletea wewe??
Wee sema ivi,Mzigo wako umekulaaaaaa, Na iko kikopo cha dawa umekikuta weeee.
Kama umekula mzigo usiwazeeeee , tuliaaaaaa tuliiiiiii . ....
Vituo vya Afya ni Bure kabisa kucheki Afya yako.
Nakm hukua mkomoaji 'Unaweza kua na Bahati ikiwa nayeye tu ametaka kukuokoa".
Swali ni je,,,Anaweza kua nahuruma nawewe ikiwa alikukubalia mtongozo wako???mpaka anakupa romance ?? Bila kukuambia???
Mimi nakushauri ,Ukikuta Umeungua,Mshitaki kwa kukuambukiza kwa makusudi... Ukishindwa mshitaki ,Mfanyie kitu ambacho hatokaa akisahau.