Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Ndio, ni box la ARV. Uliza unataka nn sasa usaidiwe.
 
Emtricitabine+ tenofovir are anti- retroviruses..... Znatumika kwa HIV only.....so kapime
 
Nimemshangaa kwelikweli...yeye anapima anaoamini yuko serious nao!

Na hiyo ndo mbaya, umdhaniye ndiye kumbe siye
Yaani watu hawaogopi ngoma kabisa sipati picha wasi wasi alionao sasa hivi.
 
Hapana... acha tu. Unaweza ukacheki afya yako ukajikuta uko poa... kesho ukafa kwa ajali!

Mi sipimi bali naishi kama mwathirika vile. Full kujilipua na misosi yenye akili...
Huuuhuuuu....utakuwa kiwembe we babu
 
Nakuonea huruma sana mkuu,najua hali ulionayo sasa hivi ,shetani kashafanya yake kakuacha unalialia,hakuna njia rahisi hapo zaidi ya kupima,na ukikuta huna au unao badilisha maisha yako maana kurudia kosa ni kufanya makusudi na kumjaribu muumba wako...
 
Wapime na watumie kinga.

Wengi huwa wanatumia kinga mwanzoni mbele ya safari wanaacha.

Nini maana ya kupima halafu utumie kinga tena? Huwezi shindana na uncertainity wewe.

Idealy mtu ukiwa negative Condom inawekwa pembeni nimekuuliza swali what if spouse wako amekua infected jana yake au akawa infected kesho yake baada ya kupima kwa mara ya pili na mkajiridhisha kuwa sasa mko fresh?

Huwezi pigana na adui ambaye haonekeni we cha msingi ni kumuomba Mungu mkeka wako usitiki.
 
Hujakosea mkuu, yaani kuna vigezo vingi saana kusema hii ni first line
Mseto uko affordable kwa kila mtanzania wizara imesema mseto iwe first line kwa sababu pia ili dawa iwe na sifa ya kuwa first line lazima kila mtu awe na uwezo wa kuinunua dawa.
Hizi ni taratibu za ki- sera tu
Duo cotexin haiko affordable kwa kila mtu japo ina uwezo mkubwa sana kutibu malaria ndio maana iko second line
Okaay nimekuelewa Mkuu.
 
Asante mkuu...... kuna mdau wasapu ananiambia hizo ni PEP je ni kweli?

Ni kweli
PEP PIA bado uhusisha matumizi ya hizi hizi ARVs
Sasa hakuna alie na uhakika kuwa mtumiaji alikua kwenye tiba au kwenye PEP.
Ila kuna moja la kuzingatia . kuna ‘criteria for initiating PEP’
Ni wananchi wa kawaida wachache saana wanafahamu kuu ya PEP, asilimia kubwa ya watumiaji PEP ni wahudumu wa afya ambao kinamna moja au nyingine wamejiexpose kwa mgonjwa mwenye HIV/AIDS maybe kajichoma sindano bahati mbaya ambayo pia ilitumika kumchoma Mgonjwa.
‘Uraiani’ wananchi wengi wanaopewa PEP labda hupatwa na majanga kama kubakwa.
 
Eti marafiki zake wamekuta kichupa wamekichukua??? Wamekuja kuletea wewe??

Wee sema ivi,Mzigo wako umekula Na iko kikopo cha dawa umekikuta wee
Kama umekula mzigo usiwaze, tulia tuli..

Vituo vya Afya ni Bure kabisa kucheki Afya yako.

Nakm hukua mkomoaji 'Unaweza kua na Bahati ikiwa nayeye tu ametaka kukuokoa".

Swali ni je,,,Anaweza kua nahuruma nawewe ikiwa alikukubalia mtongozo wako???mpaka anakupa romance ?? Bila kukuambia???

Mimi nakushauri ,Ukikuta Umeungua,Mshitaki kwa kukuambukiza kwa makusudi... Ukishindwa mshitaki ,Mfanyie kitu ambacho hatokaa akisahau.
 
Nini maana ya kupima halafu utumie kinga tena? Huwezi shindana na uncertainity wewe.

Idealy mtu ukiwa negative Condom inawekwa pembeni nimekuuliza swali what if spouse wako amekua infected jana yake au akawa infected kesho yake baada ya kupima kwa mara ya pili na mkajiridhisha kuwa sasa mko fresh?

Huwezi pigana na adui ambaye haonekeni we cha msingi ni kumuomba Mungu mkeka wako usitiki.
Unatakiwa umuombe Mungu huku unajikinga sio unamuomba Mungu huku unafanya mistake za makusudi.

Sijaelewa dhumuni lako, unamaanisha watu wasipime ila watumie condom? Sawa hayo ni mawazo yako.

Mawazo yangu ni kuhamasisha watu kupima pindi waanzapo mahusiano mapya.

Laiti huyu angepima basi angejua binti ni mgonjwa kabla hawajafanya romance zao.

Unatumia kinga na mtu, huku mnashikana maute....mnapeana denda...huoni kama mmoja ni infected risk inakua kubwa?

Ndiyo maambukizi uonekana siku 28 toka ukutane na mtu alie na virusi lakini atleast unakua umechukua taadhari kuliko yule asiepima kabisa.
 
Hahahahahahahahahaaaaa

Eti marafiki zake wamekuta kichupa wamekichukua??? Wamekuja kuletea wewe??

Wee sema ivi,Mzigo wako umekulaaaaaa, Na iko kikopo cha dawa umekikuta weeee.

Kama umekula mzigo usiwazeeeee , tuliaaaaaa tuliiiiiii . ....

Vituo vya Afya ni Bure kabisa kucheki Afya yako.

Nakm hukua mkomoaji 'Unaweza kua na Bahati ikiwa nayeye tu ametaka kukuokoa".

Swali ni je,,,Anaweza kua nahuruma nawewe ikiwa alikukubalia mtongozo wako???mpaka anakupa romance ?? Bila kukuambia???

Mimi nakushauri ,Ukikuta Umeungua,Mshitaki kwa kukuambukiza kwa makusudi... Ukishindwa mshitaki ,Mfanyie kitu ambacho hatokaa akisahau.
Nimependa zaidi aya yako ya mwisho........sitaweza kumshitaki ila nitamuachia alama katika maisha yake hatokaa kuisahau
 
Back
Top Bottom