Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Kwanza Tengua kaulj yako kwamba angejua binte ni Mgonjwa....Umimwi sio ugonjwa bali ukimwi ni upungufu wa kibga mwilini ivyo huesabika kama ni tatizo la upingufu wa kinga mwilini na inavyoonyesha hata wewe mwenyewe Tayari huna HIV unatumia ARVs
 
Umepanick sana mpaka unakosea kuandika, tulia Mkuu sio ugomvi.
 
Pia virusi vya ukimwi huishi katika Damu so mnapofanya ROMANCE ya kubadilishana maete ni mpaka pale mtakapokua na michubuko mdomoni ipelekee kubadilishana Damu ndipo mtaweza kuambukizana UKIMWI
 
Huyu mwanamke kama atakuwa anatumia hii combination ya dawa mbili pekee basi atakuwa na homa ya ini(hepatitis) .

Maana tiba yake inatumia combination 2 ya dawa za ARVS ambazo ni Tenofovir na emitricitabine kama kibox kinavyoonekana.

Pia hii dawa ndio ile ilitangazwa siku za hivi karibuni huko mkoani Mbeya kama kinga ya ukimwi,..... Kuna uzi wake hapa jukwaani
 
Pia virusi vya ukimwi huishi katika Damu so mnapofanya ROMANCE ya kubadilishana maete ni mpaka pale mtakapokua na michubuko mdomoni ipelekee kubadilishana Damu ndipo mtaweza kuambukizana UKIMWI
Nayajua hayo yote Mkuu.
 
And of course ni mbeya.........
 
Nisaidie link ya huo uzi tafadhari
 
Nimependa zaidi aya yako ya mwisho........sitaweza kumshitaki ila nitamuachia alama katika maisha yake hatokaa kuisahau
Nakazia maana ,Unajikuta kakumalizaaa ,uchumi utayumba tuu, alafu mwisho Moton uko unachomwa kama kawaida kwa dhambi za Uongo ,n.k.

Hapa utaambiwa samehe 7*70 ... Saba mara sabin =490 ..... Toka umezaliwa mpaka hapo ulipo,Hujasamehe mara 490???

Mkuu huyu alikua mchepuko au umeoa?? Au ndo kijana bado??
 
Umeongea point mkuu
 
Naungana naww , Aende kupima tu kwanza ..usikute ni Hepatatis tu .

Lkn shauku Ni moja, Km ni Hepatatis kwann hakuwa muwazi kwake??...
Kwani jamaa alimuuliza mkuu??,,na pia unajua sio rahisi mtu kuweka wazi ugonjwa alionao!!
 
Naungana naww , Aende kupima tu kwanza ..usikute ni Hepatatis tu .

Lkn shauku Ni moja, Km ni Hepatatis kwann hakuwa muwazi kwake??...
Sasa tatizo la ini wewe mpenziwe linakuusu nini huyo jamaa ni boya kwanj aliwai kumwambia demu tukapime akakataa si waende wakapime pamoja
 
Mnapima hivyo hivyo mara mbili kwa week, ila wewe mzee yote hayo ya nini jitulize tu.
Ukimwi kwa wazee kama #aspirin,sio tishio sana,MTU yuko above 50,maanake akiupata Leo,atavuta mpaka miaka 20,sasa miaka 70,so inatosha kabisa kuishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…