Unatakiwa umuombe Mungu huku unajikinga sio unamuomba Mungu huku unafanya mistake za makusudi.
Sijaelewa dhumuni lako, unamaanisha watu wasipime ila watumie condom? Sawa hayo ni mawazo yako.
Mawazo yangu ni kuhamasisha watu kupima pindi waanzapo mahusiano mapya.
Laiti huyu angepima basi angejua binti ni mgonjwa kabla hawajafanya romance zao.
Unatumia kinga na mtu, huku mnashikana maute....mnapeana denda...huoni kama mmoja ni infected risk inakua kubwa?
Ndiyo maambukizi uonekana siku 28 toka ukutane na mtu alie na virusi lakini atleast unakua umechukua taadhari kuliko yule asiepima kabisa.