Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?

Sidhani kama ni kweli, labda uwe umeishi kipindi kile cha Utawala wa Kinjikitile Ngwale, ndo ungeamini haya.
 
ukiwahi kutema mate, nimeskia mara nyng kua yey atashndw kutema. ila kuganda hapanaaa Mkuu
 
Wewe ndio unaweza kuwa na jibu sahihi kabisa

Hahaha! Mkuu,unajua hata ile sumu ya nyoka ni mate yaliyo na vijenzi fulani vya nyongeza vilivyoyafanya kuwa na nguvu ya ziada inayoyawezesha kukompromise utendaji wa kawaida wa mwili na hata kuua, tofauti ni kuwa mate ya binadamu yanayo sifa ya kuua baadhi ya viumbe hai kama baadhi ya vijidudu vya magonjwa n.k lakini hayana nguvu ya kuua kiumbe mkubwa au kumlewesha. Nadhani hiyo elimu inahitaji utafiti, pengine kuna jipya la kujifunza.
 
Mimi nnachojua ukibana pumbbu, Timu pinzani haipati goli. Na binafsi nawashauri waTz -me wabane pumbbu October 25
 
Hahahahahaa mkuu naona umeamua kutuletea vichekeaho ktk jukwaa letu.

Any way,nenda kajaribu mkuu alaf leta feedback
 
Niliwahi ckia hivo miaka ya nyuma 2003 baadae nikamwona nyoka nikamtemea wala hakuonesha mabadiliko yoyote.
 
Hahaha! Mkuu,unajua hata ile sumu ya nyoka ni mate yaliyo na vijenzi fulani vya nyongeza vilivyoyafanya kuwa na nguvu ya ziada inayoyawezesha kukompromise utendaji wa kawaida wa mwili na hata kuua, tofauti ni kuwa mate ya binadamu yanayo sifa ya kuua baadhi ya viumbe hai kama baadhi ya vijidudu vya magonjwa n.k lakini hayana nguvu ya kuua kiumbe mkubwa au kumlewesha. Nadhani hiyo elimu inahitaji utafiti, pengine kuna jipya la kujifunza.

Shikamooo Uso wa Nyoka!!!,hii mada inakuhusu sana mkuu!!,naomba nikuulize swali la kichokozi,hivi kwanini wewe uliamua kujiita hivyo???.
 
Duh humu kuna comments zinazoweza kukuongezea siku za kuishi duniani.
Napita tu jamani maana nyoka wa makengeza 😉😉nae yumo humu asije nitemea buuure😡😡😡
 
Mmmm ni kweli kwa yule nyoka mwenye jicho moja, anapenda sana kutemewa mate na wala hatokukimbia, unamtaka umjaribu 🙂
 
Sio kweli kwa hali ya kawida labda uwe umefungamana nguvu za giza.
 
Back
Top Bottom