Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?
Sidhani kama ni kweli, labda uwe umeishi kipindi kile cha Utawala wa Kinjikitile Ngwale, ndo ungeamini haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?
Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?
ukiwahi kutema mate, nimeskia mara nyng kua yey atashndw kutema. ila kuganda hapanaaa Mkuu
Si kweli.
Wewe ndio unaweza kuwa na jibu sahihi kabisa
Mimi nnachojua ukibana pumbbu, Timu pinzani haipati goli. Na binafsi nawashauri waTz -me wabane pumbbu October 25
Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?
Sidhani kama ni kweli, labda uwe umeishi kipindi kile cha Utawala wa Kinjikitile Ngwale, ndo ungeamini haya.
Hahaha! Mkuu,unajua hata ile sumu ya nyoka ni mate yaliyo na vijenzi fulani vya nyongeza vilivyoyafanya kuwa na nguvu ya ziada inayoyawezesha kukompromise utendaji wa kawaida wa mwili na hata kuua, tofauti ni kuwa mate ya binadamu yanayo sifa ya kuua baadhi ya viumbe hai kama baadhi ya vijidudu vya magonjwa n.k lakini hayana nguvu ya kuua kiumbe mkubwa au kumlewesha. Nadhani hiyo elimu inahitaji utafiti, pengine kuna jipya la kujifunza.
Hivi mate ya binadamu yanaweza ruka umbali gani?!!!!
tatizo hamkujua ni nyoka gani, kama ni joka la mdimu inaweza kuwa kweli.Hiyo tulikuwa tunadanganyana wakati tuko darasa la 3
tatizo hamkujua ni nyoka gani, kama ni joka la mdimu inaweza kuwa kweli.