Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

inawezekana lakini... nisiwe mbishi kama wewe. mwaka 78 bibi yangu aliniambiaga ...mwanamke ni kqma gunia la chuvi..... endelea tu kuamini wanawake wapo.
 
inawezekana lakini... nisiwe mbishi kama wewe. mwaka 78 bibi yangu aliniambiaga ...mwanamke ni kqma gunia la chuvi..... endelea tu kuamini wanawake wapo.
Kweli embe halidondoki mbali na mwembe.
 
Habari zenu wana JF?

Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"

Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).

Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?

Niwatakie jioni njema.
Mkuu, mbona sikuelewi, naona mwili unasisimka.
 
Na sura ya babu yako, duuuh hiyo colabo km kakuumba kui[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Heheh!, unaniweka kwenye trouble zaidi sasa atoto. Tayari niko kwenye trouble ivoo.

Itabidi sasa na sie tuumbe wetu cos wanaume wote watakuwa wanaishia kwa viumbe vyao.
Ngoja nianze kutafuta sample.
 
Heheh!, unaniweka kwenye trouble zaidi sasa atoto. Tayari niko kwenye trouble ivoo.

Itabidi sasa na sie tuumbe wetu cos wanaume wote watakuwa wanaishia kwa viumbe vyao.
Ngoja nianze kutafuta sample.
Hahahaaaa! Mie ndio lawyer wako nitakuondoa kwenye hizo troubles usijali[emoji12]

Hebu mchakato uanze faster.
 
Back
Top Bottom