Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kabisa aiseeee [emoji13] [emoji13]Hahahaaaa! Pamoja na ulevi wako!
Tena siku nisipo pombeka lazima ataniuliza, dady leo unaumwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aiseeee [emoji13] [emoji13]Hahahaaaa! Pamoja na ulevi wako!
Inaonekana unavigezo vingi hata umejikatia tamaa. Chukulia poa tu maisha yasonge, ndoa nyingi zina siri nyingi ila kuvumiliana tu.Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Hahahaaaa! Mie ndio lawyer wako nitakuondoa kwenye hizo troubles usijali[emoji12]
Hebu mchakato uanze faster.
Kabisa aiseeee [emoji13] [emoji13]
Tena siku nisipo pombeka lazima ataniuliza, dady leo unaumwa?
Nope...I've never asked you out so how could that happen?
Kukuheshimu inatosha sio lazima akuogopeme mama yangu dictator,niliishi na baba wa kambo,niliona ubabe wa maza kwa mzee yule.sasaa! kweli nampenda mama yangu lakini sitaki mwanamke mbabe kama mama yangu maana me mwenyewe mbabe,nataka mwanamke aniheshimu na kuniogopa kidogo.
Sawa Mkuu.We elewa mada, mimi huwezi nielewa.
[emoji13]Aisee, hii aone yule asiyetaka kumaliza wiki bila kulewa.
Lakini ikiwa mazoea si unachangamka tu, hupombeki.
Ati mimi ni aunty?? Toka lini?Hahahaaaaa!! mwanangu huniambia atataka aoe mke kama mimi.
Watu wakizaa huwa wana mategemeo yao wenyewe watoto watakuwaje. Kama wewe hapo unavyotaka mtoto Awe Kama wewe. akitokea akawa tofauti kabisa utafanyaje.Hahahahaha, eti walikubadilishia, kwanini unasema ivo.
Ngoja tukaulizie hospitali maana sio kwa vbandidu huu!![emoji85]Watu wakizaa huwa wana mategemeo yao wenyewe watoto watakuwaje. Kama wewe hapo unavyotaka mtoto Awe Kama wewe. akitokea akawa tofauti kabisa utafanyaje.
Nilikuwa tu sielewani na mama nilivyokuwa nakua. ndio akaniambiaga hivyo. sahivi ni mabesti lakini Ndo hivyo we are totally different people