Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Inaonekana unavigezo vingi hata umejikatia tamaa. Chukulia poa tu maisha yasonge, ndoa nyingi zina siri nyingi ila kuvumiliana tu.
 
Wanaume wengu huoa wanawake kama mama zao kwa maana hii, wanaume ndio huchagua aina ya mwanamke ampendae na kumuoa lakini mwanamke huyo yeye chaguo kbs la moyo wake sio mwanaume aliemuoa kwakuwa nae ameumbwa kupenda, basi anamwanaume aliekuwa anampenda ila hakuweza kuutimizia moyo wake haja yake kwa kumfungukia mwanaume huyo. Mama zetu nao sana ndio walipita huko coz walichaguliwa tu kama bidhaa afadhali na sasa kuna nafuu.
 
Hahahaaaa! Mie ndio lawyer wako nitakuondoa kwenye hizo troubles usijali[emoji12]

Hebu mchakato uanze faster.

Ujipange vizuri haswa.
Nidokeze basi sample yako ni plejejaizi. [emoji126]
 
Ujipange vizuri haswa.
Nidokeze basi sample yako ni plejejaizi. [emoji126]
Mie hata sina sampo
Ila tu awe na hela nyingi nyingiiii.
 
  • Thanks
Reactions: kui
me mama yangu dictator,niliishi na baba wa kambo,niliona ubabe wa maza kwa mzee yule.sasaa! kweli nampenda mama yangu lakini sitaki mwanamke mbabe kama mama yangu maana me mwenyewe mbabe,nataka mwanamke aniheshimu na kuniogopa kidogo.
 
Kukuheshimu inatosha sio lazima akuogope
 
Aisee, hii aone yule asiyetaka kumaliza wiki bila kulewa.
Lakini ikiwa mazoea si unachangamka tu, hupombeki.
Kuna watu huwa nadhani damu isha changanyika na pombe hata asipokunywa anakuwa amelewa.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hahahahaha, eti walikubadilishia, kwanini unasema ivo.
Watu wakizaa huwa wana mategemeo yao wenyewe watoto watakuwaje. Kama wewe hapo unavyotaka mtoto Awe Kama wewe. akitokea akawa tofauti kabisa utafanyaje.

Nilikuwa tu sielewani na mama nilivyokuwa nakua. ndio akaniambiaga hivyo. sahivi ni mabesti lakini Ndo hivyo we are totally different people
 
Ngoja tukaulizie hospitali maana sio kwa vbandidu huu!![emoji85]
 
Back
Top Bottom