Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Totoz...hizo ni hoja mbili tofauti kabisa.

Ni hivi, mpaka sasa, kwa vigezo na viwango vyangu, sidhani kama yupo anayefaa kuwa Mrs. Ngabu unless nimuumbe mwenyewe.

Yeah I know. I'm too picky for my own good.

Sasa tuseme, kinadharia tete, ingetokea akawepo huyo mwanamke wa kunifaa basi nisingependa hata kidogo afanane na mama yangu.

Au ikitokea nikaja kumuumba mwenyewe huyo future Mrs. Ngabu basi nitamuumba vile nipendavyo na si vile alivyo mama 'angu.

Sipati picha kulala na mke anayefanana na mama yangu aisee.

Sijui umenielewa?
Mkuu unataka mwenye papuchi mbili na matiti matatu nini?? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kumbeeee! Mbona hukuwahi kuniambia?
Hebu niambie hivyo tulivyopishana.
Sasa we kila kitu unataka nikwambie siku moja,halafu kesho tutaongea nn sasa..
Moja mlilopishana ni kupenda pesa sana lol
 
Back
Top Bottom