Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Kabisa ningetamani kuwa na mume at least kama baba yangu, watoto wangu watakuwa wamepata the best father in the world
Baba ako akiombwa hela na mama ako anatoa tu!? kifupi anachunika?!
Je tabia za mademu kuomba hela huwa mmejifunzia wapi?!
 
Baba ako akiombwa hela na mama ako anatoa tu!? kifupi anachunika?!
Je tabia za mademu kuomba hela huwa mmejifunzia wapi?!
Mama yangu amchune baba yangu, mume wake????? She ain't a gold digger. Wameanza maisha pamoja wakiwa hawana kitu till today Mungu kawainua. My father is one hell of a responsible man, anahudumia familia yake ipasavyo, anajua majukumu yake so hasubiri kuombwa, unless kuna emergency imejitokeza
 
Hivi 'kuchuna' ni kufanyaje?
 
Hivi 'kuchuna' ni kufanyaje?
Teh kuomba hela kwa kukomoa sijui. Hivi mtu akikuomba hela kama hutaki si usitoe tu, mtu anatoa hela afu anakuja kulia lia khaa, kakushikia "binduki" kwani?
 
Teh kuomba hela kwa kukomoa sijui. Hivi mtu akikuomba hela kama hutaki si usitoe tu, mtu anatoa hela afu anakuja kulia lia khaa
Huko kuomba hela kwa kukomoa ni kupi?? Kama nimeomba laki5 ukanipa, next nikapanda kidogo bado ukanipa, tatizo liko wapi?
Ndio hapo mie ninapochoka mwili, roho na maini.
Maana hakuna anaeshikiwa bunduki ili atoe, kama hauna kwanini ujitutumue? Si useme tu 'sina'
 
Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Mkuu, unaheshimika sana humu JF, wala hufanani na hiki ulichokiandika... nailazimisha akili yangu iamini ID na PASSWORD yako vimevamiwa
 
Teh kuomba hela kwa kukomoa sijui. Hivi mtu akikuomba hela kama hutaki si usitoe tu, mtu anatoa hela afu anakuja kulia lia khaa, kakushikia "binduki" kwani?
Tatizo mnahesabu sana huko kuchuna yaani unaweza ukadhani umechuna bila wewe kugegedwa....
 
Ni tabiaa tuu me nikiwa na shida ntamuomba mama Yangu ila akitokea Jidada anajileta na Hela zake Nakulaa tuu
 
Tatizo mnahesabu sana huko kuchuna yaani unaweza ukadhani umechuna bila wewe kugegedwa....
Mmmmh!! Kwani unalazimishwa kutoa jamani? Si unatoa kwa mapenzi yako, why ulalamike na kuona kuwa unachunwa?
 
Habari zenu wana JF?

Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"

Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).

Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?

Niwatakie jioni njema.
[emoji121]
MKUU
UNGEKUWA HATA PICHA YA BLACK & WHITE.
 
Ni kweli mtazamo wako unaweza kuwa kweli kwa asilimia fulani.
Sio mtazamo wangu tu, ni wa wengi pia.
Na kumekuwa na malalamiko sana kuhusu 'wanaume wa siku hizi' na 'wanawake wa siku hizi', je hii inamaanisha nini?
Ni kuwa wanaume wanataka wanawake kama wa enzi za mama na baba zao na kwa wanawake ni vivyo hivyo.

Lakini zama zimebadilika, hata hao baba na mama zetu wangekuwa katika zama zetu,pia wasingekuwa kama wa enzi hizo.
 
Back
Top Bottom