Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika nipo mwanza?Boss kubwa unawajua bana.. Mwingine ni Nifah, Geahabibu na Dina.. Ila hawa wawili wa mwisho wote wapo Mwanza..
Baba ako akiombwa hela na mama ako anatoa tu!? kifupi anachunika?!Kabisa ningetamani kuwa na mume at least kama baba yangu, watoto wangu watakuwa wamepata the best father in the world
Mama yangu amchune baba yangu, mume wake????? She ain't a gold digger. Wameanza maisha pamoja wakiwa hawana kitu till today Mungu kawainua. My father is one hell of a responsible man, anahudumia familia yake ipasavyo, anajua majukumu yake so hasubiri kuombwa, unless kuna emergency imejitokezaBaba ako akiombwa hela na mama ako anatoa tu!? kifupi anachunika?!
Je tabia za mademu kuomba hela huwa mmejifunzia wapi?!
Hivi 'kuchuna' ni kufanyaje?Mama yangu amchune baba yangu, mume wake????? She ain't a gold digger. Wameanza maisha pamoja wakiwa hawana kitu till today Mungu kawainua. My father is one hell of a responsible man, anahudumia familia yake ipasavyo, anajua majukumu yake so hasubiri kuombwa, unless kuna emergency imejitokeza
Upo Atlanta Marekani..Una uhakika nipo mwanza?
Teh kuomba hela kwa kukomoa sijui. Hivi mtu akikuomba hela kama hutaki si usitoe tu, mtu anatoa hela afu anakuja kulia lia khaa, kakushikia "binduki" kwani?Hivi 'kuchuna' ni kufanyaje?
Huko kuomba hela kwa kukomoa ni kupi?? Kama nimeomba laki5 ukanipa, next nikapanda kidogo bado ukanipa, tatizo liko wapi?Teh kuomba hela kwa kukomoa sijui. Hivi mtu akikuomba hela kama hutaki si usitoe tu, mtu anatoa hela afu anakuja kulia lia khaa
Mkuu, unaheshimika sana humu JF, wala hufanani na hiki ulichokiandika... nailazimisha akili yangu iamini ID na PASSWORD yako vimevamiwaSidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Tatizo mnahesabu sana huko kuchuna yaani unaweza ukadhani umechuna bila wewe kugegedwa....Teh kuomba hela kwa kukomoa sijui. Hivi mtu akikuomba hela kama hutaki si usitoe tu, mtu anatoa hela afu anakuja kulia lia khaa, kakushikia "binduki" kwani?
[emoji121]Habari zenu wana JF?
Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"
Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).
Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?
Niwatakie jioni njema.
Sio mtazamo wangu tu, ni wa wengi pia.Ni kweli mtazamo wako unaweza kuwa kweli kwa asilimia fulani.