Swordsman
Senior Member
- Nov 9, 2016
- 142
- 336
Habari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae, tukaachana baada ya kumpata huyu yeye anasema tusigusane hadi, tufunge ndoa, na ni mwaka na nusu sasa, yuko bize sana na biashara zake anasafiri sana, ila mahitaji ya hela vt napewa, sasa hivi nimekuwa nikiumwa kiuno sana, na kuna rafiki yangu nimemuuliza ananiambia ni kutokufanya mapenzi muda mrefu, sasa nmekuja mnishauri jamani, dawa gani naweza tumia kiuno kikapoa, nmemueleza mpenzi wangu ananiambia nimvumilie tuu ,tutafunga ndoa,
Hivi kumbe kuna wanaume wa aina ya bwana'ako wana-exist katika hii dunia?
Mwanaume hataki kupima oil kabla gari halijaanza safari[emoji15]
Na ww umeridhika kabsa kuja kufunga ndoa kabla hujajua kama ana kibamia au muhogo wa jang'ombe? I pity both of u[emoji1492]
Anyway hayanihusu lakini