Je hili tatizo ni la kutokufanya mapenzi muda mrefu?

Je hili tatizo ni la kutokufanya mapenzi muda mrefu?

Habari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae, tukaachana baada ya kumpata huyu yeye anasema tusigusane hadi, tufunge ndoa, na ni mwaka na nusu sasa, yuko bize sana na biashara zake anasafiri sana, ila mahitaji ya hela vt napewa, sasa hivi nimekuwa nikiumwa kiuno sana, na kuna rafiki yangu nimemuuliza ananiambia ni kutokufanya mapenzi muda mrefu, sasa nmekuja mnishauri jamani, dawa gani naweza tumia kiuno kikapoa, nmemueleza mpenzi wangu ananiambia nimvumilie tuu ,tutafunga ndoa,

Hivi kumbe kuna wanaume wa aina ya bwana'ako wana-exist katika hii dunia?
Mwanaume hataki kupima oil kabla gari halijaanza safari[emoji15]
Na ww umeridhika kabsa kuja kufunga ndoa kabla hujajua kama ana kibamia au muhogo wa jang'ombe? I pity both of u[emoji1492]
Anyway hayanihusu lakini
 
Dawa ya kiuno ni mikono ya mtu.. akuchue vizuri...

cc: mahondaw

Lol kwahilo pozi la kushika kiuno la mtoa mada lazima kiuno kiume wee mwaka unusu wote umeshikilia tu vibaya hivooo fanya hima kikachuliwe hikoo

Mi nahesabu siku tu hapa lazima huyo mwanaume ajiandae kupunguza sio za kitoto
Yani kiuno kimejaaaaaaa kimekua kizitoooo

cc: Smart911
 
fanya zoez man dada nampongeza kw uamuz mzr kamilisha taratibu za ndoa t awe wako t
 
Lol kwahilo pozi la kushika kiuno la mtoa mada lazima kiuno kiume wee mwaka unusu wote umeshikilia tu vibaya hivooo fanya hima kikachuliwe hikoo

Mi nahesabu siku tu hapa lazima huyo mwanaume ajiandae kupunguza sio za kitoto
Yani kiuno kimejaaaaaaa kimekua kizitoooo

cc: Smart911
Karibu sana super dear... Nitaanda kila kitu kwa ajili ya mchuano...
 
Habari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae, tukaachana baada ya kumpata huyu yeye anasema tusigusane hadi, tufunge ndoa, na ni mwaka na nusu sasa, yuko bize sana na biashara zake anasafiri sana, ila mahitaji ya hela vt napewa, sasa hivi nimekuwa nikiumwa kiuno sana, na kuna rafiki yangu nimemuuliza ananiambia ni kutokufanya mapenzi muda mrefu, sasa nmekuja mnishauri jamani, dawa gani naweza tumia kiuno kikapoa, nmemueleza mpenzi wangu ananiambia nimvumilie tuu ,tutafunga ndoa,
Huyo jamaa kama sio mgonjwa wa upungufu wa nguvu za kiume basi atakuwa na kibamia.

Hivyo anaogopa kusex sasa hivi kwani utagundua mapungufu yake na kumkataa,

Hakuna mwanaune rijali mkamilifu atakayekataa papuchi eti mpaka ndoa!
 
Ndo shida ya kuanza ngono mapema Sasa yule keshakimbia umekuwa kustahmili huwez Tena.. tafuta mwengne akugegede then uyo na asubr iyo ndoa...
 
Wanawake wa leo, zamani walikua wagum kutoa mpaka ndoa saiv wanataka kabla ya ndoa dunia inaisha.
 
utazeehka hata mtoto huna. sikazi huyo mchumba wako jogoo hapandii. fanya maamuzi wape watu machine wapige. kama vipi ni PM kwaushauri zaidi.
 
Yaonekana Suala la Ngono ndio unaloliwaza sana kwann ukimbilie kwenye Ngono? matatizo ya kiuno wala hayana mahusiano na Ngono.

Sema unataka kibali hapa uambiwe ndio ili upate sababu ya Kungonoka Yaani Jibu unalo mwenyewe halafu sisi tukusuport.

Mwaka na Nusu kiuno kinauma je ukifika miaka 3 Papuchi c utasema haipo tena.

Pengine shughuli zako za kila siku ndio zinachangia hilo,kutokufanya mazoezi, hunywi maji
 
Halafu cha kushangaza ni ME ndiye kagoma kugegeda!

Kutofanya mapenzi hakuna uhusiano kabisa na huo ugonjwa.

Angalizo: Nakuona kabisa unaenda kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

Asante.
 
Back
Top Bottom