heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,
Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.
Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭
View attachment 2167046
Kamanda alivyokuwa ananiuliza nilimtizama usoni alafu nikamwambia ntakupa jibu ye anasikikiaga tu vidonge vya ukimwi ni vikubwa na iyo ni Lamivudine 75Tayari kamanda yuko gridini
Ivyo ni vyenyewe mkuu, kama alikuta vitano na havipo kwenye vikopo vyake (hua zinatolewa vya miezi 3 au 6 na huwekwa kwenye vile vikopo ili kutunza ubora)kuna mambo kadhaa apoWakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,
Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.
Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭
View attachment 2167046
Sio kwa staili iyo mazee demu namjua hajatulia kabisaKukutwa na samaki haina maana wewe ni mvuvi.
.now nimepata picha kwasabbu demu wa mwana ni wakuruka ruka sana,there is 80% kwa ili,nitakacho mshauri mwana ni akaipime nae akigoma akapime mwenyeweanaweza kunywa ili kuzuia maambukizi! sio lazma awe ameambukizwa
glr wanakwepa kwenda ktk point wananizungusha😎Kwani Google wanasema je?
Goo
glr wanakwepa kwenda ktk point wananizungusha😎
Ushauri .mzuri shukrani wacha nisamarize nimtemee kamanda, huyu mchumba ake kiukweli ni mdnangaji ila amemuelewa tu jamaaIvyo ni vyenyewe mkuu, kama alikuta vitano na havipo kwenye vikopo vyake (hua zinatolewa vya miezi 3 au 6 na huwekwa kwenye vile vikopo ili kutunza ubora)kuna mambo kadhaa apo
1. Either alipima akakuta yupo positive ila akachagua kituo tofauti na alichopimia kuchukua dawa kwahyo wakampa za kuanzia.
2. Ni mtumiaji wa mda kwahyo ARV zilimwishia labda akiwa mbali akapita kituo chochote cha karibu wakampa za kusogeza siku hadi arudi anapochukuliaga
3. Kawa exposed to HIV labda weekend na alipoenda kuchukua hosptl wamempa chache maana CTC nyingi hua weekend hazifanyi kazi kwahyo wamempa izo chache ili asubiri siku za week.
Ila kwa kuhitimisha ndo zenyewe kwahyo akae na huyo mpenz wake amwelekeze vizuri ikiwezekana nae akapime pia.
Sawa mkuu, kama alikua anafanya ngono zembe kuna mawili either anao au hana ila kama alikua anajihami anaweza kua upande salama zaidi.Ushauri .mzuri shukrani wacha nisamarize nimtemee kamanda, huyu mchumba ake kiukweli ni mdnangaji ila amemuelewa tu jamaa