Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

.MREJESHO, awali nimefurahi kwa ushauri wenu nilichofanya ni kusamarize nA kwenda kumtemea jamaa,

Picha linaanza namkuta jamaa anamawazo kinoma, namuuliza tena anakana nae anasema ni vya mshkaji wake 😅😅😅,kwamba amempa amsaidie kuuliza ni vya nini nikasema kazi ipo aya tunfuate uyo jamaa akatunga uongo mwingi nikajua ni yeye tu.

Maelezo akanipa vyema kavikuta vitano ktk karatasi,hakufanikiwa kupata kopo, nilichomshauri

1:kwamba ndio ni vidonge vya ukimwi pia nikamuonyesha na aina ingine ktk google
2,Nikamuambia pia na matumizi yake mengine ambayo ni ya kuforce kama kuwapa kuku,au kujikinga na ukimwi kama watu walivyosema

3.Nikamuweka neutral kwasababu hajakuta kopo means uyo alikuwa anavitumia kwa matumizi ayo mengine,ila pia anauwezekano wa kuwa na HIV

4.KWA sababu muhusika uyo mwanamke alimdanganya ni vya tumbo basi hii inaonyesha uyo mwanamke anao ukimwi ila anavitumia kwa siri

5.Kidogo akaelewa somo nikampa hitimisho kwamba amrudie mwanamke wake Muulize mara ya pili hivi ni vidonge vya HIv Yes or No, akikubali au akikataa amshike mkono wakapime 😴😴,
Kwasababu kama ni yes akaprove kama anao kuwa na ivo vidonge ni sababu toshA ya kupima

Akakubali ushauri wangu kazi kwake. Nimekaa na watu wanaomeza ARV nilicho notes kutoka kwao dalili zao

1.hutema sana mate
2.ratiba yao ya chakula huwa ni on time mfano kama ni asubuh saa nne basi mara nyingi ni muda huo na ni msosi wa kibabe
3.Ni wat wenye mawazo na hasira sana
4.Hukonda gafla mpaka unamgundua huyu kapungua haswaa
5.hawajali chochote wao
6.zile mbaazi huwa hawqchukulii hospitali za karibu
7.ni watu wenye wosia sana akikuona unaruka ruka atakukanya
8wanajuana vibaya mnooo ukitaka kujuwa jeng nae urafiki atakupa list ya wenzake anaowajua maana hukutana vituoni n.k

Ukimwi upo ila ukizingatia dawa unadunda

Shukrnai wote
 
Uwo utakuwa unya
Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,

Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.

Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭

View attachment 2167046
Nyapaaa
 
Ivyo ni vyenyewe mkuu, kama alikuta vitano na havipo kwenye vikopo vyake (hua zinatolewa vya miezi 3 au 6 na huwekwa kwenye vile vikopo ili kutunza ubora)kuna mambo kadhaa apo
1. Either alipima akakuta yupo positive ila akachagua kituo tofauti na alichopimia kuchukua dawa kwahyo wakampa za kuanzia.
2. Ni mtumiaji wa mda kwahyo ARV zilimwishia labda akiwa mbali akapita kituo chochote cha karibu wakampa za kusogeza siku hadi arudi anapochukuliaga
3. Kawa exposed to HIV labda weekend na alipoenda kuchukua hosptl wamempa chache maana CTC nyingi hua weekend hazifanyi kazi kwahyo wamempa izo chache ili asubiri siku za week apewe full dose ya siku 30.
Ila kwa kuhitimisha ndo zenyewe kwahyo akae na huyo mpenz wake amwelekeze vizuri ikiwezekana nae akapime pia.
Chzmsingi jamaa aende kupima kiwizi ili akijikuta yupo fresh amkimbie demu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saivi kama huna vipimo na haumwelewi unayetiana nae ni afazali kupaka mafuta kwenye lungu inasaidia kupunguza misuguano na michubuko.
 
LAMIVUDINE, nimejaribu google hapa nilichokutana nacho kimenisitua.
 
Kwamba mwamba ame "join the chain" [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,

Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.

Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭

View attachment 2167046
Asimwache huyo demu anampenda angekutana na wale wenye navyo na hawatumii dawa na ukivaa mpira wanakuambia wanaumia au allergy na condom.,wanataka upige pekupeku ili ukutane na ... asubuhi kabisa
 
Back
Top Bottom