Bongeee
Senior Member
- Jan 2, 2016
- 199
- 261
DuhPole mkuu. ikiwezekana anza kukariri mashairi ya parapanda italia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhPole mkuu. ikiwezekana anza kukariri mashairi ya parapanda italia
We usiethamin wanawakeNjo tupimane kwanza 😎
Ila bado unaweza ukawa MVUVIKukutwa na samaki haina maana wewe ni mvuvi.
Ndio yeye mwenyewe hapa anazuga tu hapa kupunguza makaliukome kupekua pekua vitu vya watu...ooh kumbe sio wewe mwambie jamaa yko akome kufatilia vitu visivyo muhusu.😂
Bado elimu haijafika vizuri watu wakaelewa...Tayari kamanda yuko gridini
Wanapulizana Sana, Tunatishana Sana Vigogo Wapukutika ,Vigogo WafaMbona siku hizi watu wenye VVU wanaolewa vizuri tu na jamaa wanapuliza kama kawaida na wanazaa, na majamaa ukiyapima unayakuta Negative kabisa🤣🤣
Ndiyo Ukweli WenyeweBado elimu haijafika vizuri watu wakaelewa...
Huwa elimu ya matumizi ya ARV bado jamii nyingi hawana taarifa nazo..
Mtu akiwa anatumia ARV.. Ipasavyo hawezi kuambukiza ugonjwa kwa mtu mwingine... Chances are very minimal
Matumizi ya ARV ni :
I) Kupunguza makali ya ugonjwa kwa mhusika
II) Kupunguza au kuzuia maambukizi mapya kwa mtu mwingine
III) Hutumika kama profilaxis ( kuzuia maambukizi kwa mtu aliyejichoma sindano au kubakwa na mtu unayehisi sio salama)
IV) Kwa mama mjamzito akitumia huondoa uwezekano kwa maambukizi kwa mtoto atakaye zaliwa
Kwanini nisiwathamini?We usiethamin wanawake
Huduma hiyo ipo mkuu.Ina maana unaweza meza ARVs kuzuia maambukizi kweli!!?mpya HII sijawahi sikia hiyo!!
aanze dozi mapema 😂😂Ndio yeye mwenyewe hapa anazuga tu hapa kupunguza makali
Tutaomba mrejesho pls ili nasi tupate kujifunza.now nimepata picha kwasabbu demu wa mwana ni wakuruka ruka sana,there is 80% kwa ili,nitakacho mshauri mwana ni akaipime nae akigoma akapime mwenyewe
Dawa za vidonge vyenye muundo wa sura ya jeneza huwa ni viagra bila kujali rangi gani ingawa mara nyingi huwa ni vya bluu kama uchumi wa Zanzbar!Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,
Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.
Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo [emoji41][emoji24]
View attachment 2167046
Kabisa, kansa isikie tu, Hahaaa Kansa ni shida mkuuu acha kabisaWenyewe wanakuambia bora ngoma kuliko Kansa,kisukari.
Kwahiyo jamaa kakutana na Ak47 bila kujua? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,
Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.
Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo [emoji41][emoji24]
View attachment 2167046
Tupime...Siku hizi ukimwi upo njenje na watu hawasemi.Tuwe tunapimana jamen