Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Pep ni post-exposure prophylaxis, ni dawa anayopewa mtu anayehisi kuambukizwa virusi vya ukimwi, vinapaswa vitumike kabla ya masaa 72 kupita ndipo vinafanya kazi.
Upo sahihi kabisa, sasa ni dawa gan izo?
 
Kukutwa na samaki haina maana wewe ni mvuvi.
FB_IMG_1648499814063.jpg
 
Ivyo ni vyenyewe mkuu, kama alikuta vitano na havipo kwenye vikopo vyake (hua zinatolewa vya miezi 3 au 6 na huwekwa kwenye vile vikopo ili kutunza ubora)kuna mambo kadhaa apo
1. Either alipima akakuta yupo positive ila akachagua kituo tofauti na alichopimia kuchukua dawa kwahyo wakampa za kuanzia.
2. Ni mtumiaji wa mda kwahyo ARV zilimwishia labda akiwa mbali akapita kituo chochote cha karibu wakampa za kusogeza siku hadi arudi anapochukuliaga
3. Kawa exposed to HIV labda weekend na alipoenda kuchukua hosptl wamempa chache maana CTC nyingi hua weekend hazifanyi kazi kwahyo wamempa izo chache ili asubiri siku za week apewe full dose ya siku 30.
Ila kwa kuhitimisha ndo zenyewe kwahyo akae na huyo mpenz wake amwelekeze vizuri ikiwezekana nae akapime pia.
Astaghafillullah
 
Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,

Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.

Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭

View attachment 2167046
Genye mbaya sana.

Hapa lazma itakuwa mwamba alifakamia mitungi usiku mwingi akazoa kimwana sasa anaamka asbh anakuta kaachiwa tembe.

Hapa lazma akili zikae sawa na lawama zooooote ni kwa kichwa kidogo🤣
 
Back
Top Bottom