Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Duuh! Ikiwa ndo vyenyewe hatorudia tena huo mchezo wa kupekua pekua.
 
Goo

glr wanakwepa kwenda ktk point wananizungusha😎

IMG_20220328_163928_431.jpg
 
Mkuu hiyo ishu imekukuta wewe,
Usijifiche wala kuona aibu. Hizo mbaazi wengi tunakula.
Hahaha hakuna bana yupo jamaa angu mi ningeenda direct kupima,alafu sinaga kawaida ya kusearch mikoba ya wanawake
 
Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,

Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.

Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭

View attachment 2167046
Yes, hizo ni Lamuvidine kwaajili ya waathirika wa HIV, lakini muhimu ni KUTOKUWA na wasiwasi kwasababu kama kweli huyo anayetumia anafuata dose kadri inavyotakiwa uwezekano wa kuambukiza ni mdogo sana.

Maana ukitumia dose inavyotakiwa, virus wankuwa dormanta na hawazaliani na hivyo ni ngumu sana kuambukiza.
 
Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,

Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.

Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭

View attachment 2167046
Hujui matumizi ya Google

IMG_20220328_175250.jpg
 
Back
Top Bottom