Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Paulo anasema "heri kuoa kuliko kuwaka tamaa" ..... kama anafamilia kamkosea sana mkewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaweza kunywa ili kuzuia maambukizi! sio lazma awe ameambukizwa
Ukute ni wewe mwenyewe, anyway tufanye sio wewe!Sio kwa staili iyo mazee demu namjua hajatulia kabisa
NyapaaaWakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,
Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.
Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭
View attachment 2167046
Uwo utakuwa unya
Nyapaaa
Chzmsingi jamaa aende kupima kiwizi ili akijikuta yupo fresh amkimbie demuIvyo ni vyenyewe mkuu, kama alikuta vitano na havipo kwenye vikopo vyake (hua zinatolewa vya miezi 3 au 6 na huwekwa kwenye vile vikopo ili kutunza ubora)kuna mambo kadhaa apo
1. Either alipima akakuta yupo positive ila akachagua kituo tofauti na alichopimia kuchukua dawa kwahyo wakampa za kuanzia.
2. Ni mtumiaji wa mda kwahyo ARV zilimwishia labda akiwa mbali akapita kituo chochote cha karibu wakampa za kusogeza siku hadi arudi anapochukuliaga
3. Kawa exposed to HIV labda weekend na alipoenda kuchukua hosptl wamempa chache maana CTC nyingi hua weekend hazifanyi kazi kwahyo wamempa izo chache ili asubiri siku za week apewe full dose ya siku 30.
Ila kwa kuhitimisha ndo zenyewe kwahyo akae na huyo mpenz wake amwelekeze vizuri ikiwezekana nae akapime pia.
Hilo ndo suluhisho, Ila watu wajifunze kutumia condomu aiseee, Ila kama mwanamke alikua mtumiaji mzuri wa ARVs jamaa anaweza akawa mzimaChzmsingi jamaa aende kupima kiwizi ili akijikuta yupo fresh amkimbie demu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ukikutwa na ngozi hakika wewe ni mwizi wetu.Kukutwa na samaki haina maana wewe ni mvuvi.
Asimwache huyo demu anampenda angekutana na wale wenye navyo na hawatumii dawa na ukivaa mpira wanakuambia wanaumia au allergy na condom.,wanataka upige pekupeku ili ukutane na ... asubuhi kabisaWakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75,
Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema.
Swali nililomuuliza aliona vikopo akajibu hapana, nipeni jibu sahihi na ushauri nimjibuje maana alivyomuuliza mchumba wake huyo alimjibu ni vya tumbo 😎😭
View attachment 2167046