Ukiwa mwongo na mtu wa kuyumba ktk misimamo kubaya sana - siku hizi unaandika kama mgeni humu JF, huna confidence kabisa!Naam dadangu, aidha watu wana nidhamu au hawana. Na hakuna kitu kama "nidhamu ya woga". Ukiwa mtumishi wa umma ni lazima uogope; uogope kuvunja sheria, uogope kutumia madaraka yako vibaya, uogope kukutwa unavuruga! Unatakiwa utende kazi kwa kujiamini, kwa weledi na kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na nafasi yako. Sasa bosi wako akitokea na kukuta umekunja nne ukaruka juu na kujimwagia chai na kuanza kujifanya unafanya kazi manake ni kuwa hukuwa mwoga in the first place! Ungekuwa unaogopa ungekuwa huna wasiwasi. Hivyo, woga wa kinidhamu unahitajika na viongozi waendelee kuwashtukiza na kuwatumbua hasa kama watumishi hawawaogopi mabosi wao au viongozi wao wajuu.
Tulidekezwa mno hadi tukadeka na kuamini tunatakiwa kudekezwa.
Mimi sina utalaam wowote kwa sababu kama ningekuwa na utalaam ningekuwa nimeishafikiriwa na wenye CHADEMA kupewa kazi ambazo ninajaribu kuziomba kila mara.Wewe una utaalamu gani wa Management?
Naam dadangu, aidha watu wana nidhamu au hawana. Na hakuna kitu kama "nidhamu ya woga". Ukiwa mtumishi wa umma ni lazima uogope; uogope kuvunja sheria, uogope kutumia madaraka yako vibaya, uogope kukutwa unavuruga! Unatakiwa utende kazi kwa kujiamini, kwa weledi na kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na nafasi yako. Sasa bosi wako akitokea na kukuta umekunja nne ukaruka juu na kujimwagia chai na kuanza kujifanya unafanya kazi manake ni kuwa hukuwa mwoga in the first place! Ungekuwa unaogopa ungekuwa huna wasiwasi. Hivyo, woga wa kinidhamu unahitajika na viongozi waendelee kuwashtukiza na kuwatumbua hasa kama watumishi hawawaogopi mabosi wao au viongozi wao wajuu.
Tulidekezwa mno hadi tukadeka na kuamini tunatakiwa kudekezwa.
Sasa hao mameneja na wakurugenzi mbona hawakufanya lolote hadi raisi akafika na kuwashtukizia? Tuseme kama asingefanya hivyo hayo mauvu au makosa yange endelea au yangekuepo hadi lini? Au hadi jesusi apite na bomu ndio watu muanze kulalamika...Dah umenichekesha sana mkuu!! Kwa huyo huyu jamaa ni supervisor au manager na sio President...
Wazungu hawakuwa wajinga kuweka manager, then mkurugenzi, then vice president na hata senior vice president na mwishoooooooooooni anakuwepo president. Leo hii unamtaka mzee wangu wa Chato John Makufuli kuWANDA Tanzania nzima, kilomita za mraba 945,000 ili kuongoza nchi!!!! Ama kweli watanzania tumerogwa. Kama hata wewe uko nafasi ya 15 chini katika washauri wa raisi basi tumekwisha. Kwa upeo wako huu mdogo inatakiwa uwe nafasi ya mia huko chini ushauriane na wafagiaji wenzako
Kwa hiyo Rais kufanya vema kuitengenezea crisis?Maisha bila sukari yanawezekana.
Kabla ya shutuma za kuficha sukari wakati ilipokuwa inapatikana, ni nani aliyesababisha sukari kupotea?Nani mwoga,Pasco. Wale watu walioficha sukari wanamuogopa nani?
Kwa nini amwachie aseme mpaka mwisho wakati kila muhusika alikua azungumza la kwake - wahusika wote walionekana wazi wazi kuna kitu wanaficha hawataki kuwa wawazi - uhitaji shahada ya PhD kung'amua kinacho endelea pale - mashine zote mpaka ya back up haziwezi kuwa down at a go!
Watu wamekalia kumlahumu Rais, ni wachache walio pay attention alicho zungumza toka mwanzo - hakuja pale kwa bahati mbaya he had all info at his fingertips, we unafikiri kwa nini alimwambia operator awashe mashini nini kilicho tokea - Magufuli hafanyi mambo kwa kubabaisha ana watu reliable wanao mpata taarifa za kuaminika 24×7 na ni wengi - nyie jidanganyeni eti anakurupuka atakuja kuwashangaza wengi wenye kumtakia mema ambao ni wengi pamoja na diehard fisadis waliotaka hasiwe Rais from dayone - hawa ndiyo wanatafuta kila mbinu kuhujumu dhamila yake ya kweli ya kukomboa Taifa letu kwa mara ya pili, tulikuwa tumefikia pabaya.
UmejitahidiAfadhali ya nyumbu watakimbilia kwenye chakula na maji, kuliko ng'ombe atapewa majani na pumba kisha atakamuliwa maziwa, ukimwambia sikukuu unatakiwa kunenepeshwa uchinjwe, tena ukamfungulia mlango akimbie hatotaka, sana sana atakupiga pembe. Bora ya nyumbu kuliko ng'ombe. Extremely pathetic
Umejitahidi
Pasco nakufahamu na ninauelewa uwezo wako na zaidi natambua usomi wako pia. Najua pia wewe ni Msukuma wa Mwanza unaeishi Dar.Kwa maana hiyo unaelewa vizuri sana hali ambayo taifa lilikuwa limefikia mara tu baada ya uongozi wa mar.Nyerere na alipopokelea uongozi raisi Magufuli.Vivyo hivyo unaelewa wazi jinsi maadili yalivyokosekana kwa viongozi na wafanya kazi wote wa serikali na mashirika ya umma kwa kutofuata taratibu za kazi ingawaje zipo na zimeonyeshwa hata kwenye job discription wanazopewa na kuweka saini kuzifuata.Unajua vizuri kabisa baada ya wakubwa kwenda Zanziba na kulizika huko azimio la Arusha lililokuwa na miiko ya viongozi na kuunda lao waliloliita azimio la Zanzibar lililowapa uwezo wa kuwa na hisa kwenye makampuni na mashirika,kumiliki biashara kubwa kubwa kuanzia maduka,migodi,majengo,meli n.k.Unakumbuka ndipo ufisadi wa mikataba iliyowanufaisha zaidi wao,wizi wa fedha za umma na rasilimali za wananchi na tukashuhudia twiga kupanda ndege na wahujumu wote kupeta uraiani bila kushtakiwa.Ilifika mahali watanzania wakamlilia Mungu awape raisi mkali,mwenye uthubutu wa kuwapeleka mafisadi mahakani kunusuru uchumi wa nchi na wananchi wafaidi utajiri wa nchi yao wote bila kubagua.Tukaenda mbali kusema hata kama huyo raisi angeongoza kidikteta hatutajali ilimradi asimwonee au kumkomoa mtu ila atende kwa haki.Sasa mmempata raisi mchapa kazi na mkali.Mnatakaje sasa?Kwenye kampeni zake aliyajibu maombi yote ya wananchi na kumalizia nitatenda kwa haki ila kwa ukali na sitamwonea mtu au kumbagua kwa kabila dini chama wala rangi na kwa mafisadi nitawaundia mahakama yao wakipatikana na hatia wafungwe haraka.Mahakama itaanza kazi July hii.Sawa yanaweza kuwepo mapungufu ya jinsi anavyotekeleza wajibu wake kwani mengine yapo kisheria.Nakwambia Pasco Mungu akimsaidia akapokea kofia ya uenyekiti chama taifa June mwaka huu na Mungu akamkumbusha kuisimamia rasimu ya Warioba bunge la katiba ndio mwisho wa kutumbua majipu kwani yatakuwa yameshajitumbua yenyewe katika katiba.Yeye na mawaziri wake ni kusimamia tu.Magufuli hadi sasa ana imani kubwa ya watanzania nasi alituomba tumwombee ulinzi wa Mungu katika kutekeleza wajibu huu hatari.Naamini baada ya uongozi wa miaka miwili utanikumbusha juu ya mchango huu.Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za kusisitiza ukweli, ukiwa mkweli, ukweli utakuweka huru!. Hili ni swali, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga?!. Jee, Kutasaidia?!.
Hiki nilichokishuhudia leo Eapoti jamani sio!. Tufike mahali watu wanaommudu, wamshauri, that is not the right way.
Leo nimemshuhudia ngosha pale eapoti anavyo waterorize wale maofisa pale!, tangu lini domestic arrival wanapita kwenye scanner?!, akashauri eti kwa nini nao wasizungukie pale kwenye scanner za depature ndipo waingie nchini!, kiukweli watu wenye akili zao, wanaanza kumuona huyu jamaa kama sio!, kiukweli ule ni terorising!, nitamshauri yule kaimu, vitu vingine viishie kwenye habari tuu na sio kuleta kipindi maalum wakidhani wanamjenga kumbe ndio wana mdhalilisha bure!, na jamaa anavyopenda masifa mbele ya kamera, kiukweli huu ushamba wa kabila langu sometimes unanchekesha!.
Nasisitiza naunga mkono kinachofanyika kuisafisha serikali yetu na madudu yaliyokithiri, the man is doing the right thing but in a wrong way!. Every human being needs dignity!. Pomoja na yote jamani, ka human dignity kawepo, na sio huu udhalilishaji mbele ya kamera halafu wanausha kipindi maalum!. Please wajemeni!.
Namshukuru sana Mzee wa kutumbua, leo kashtukiza lakini hakutumbua zile za papo kwa papo, labda sauti zetu zinaanza kusikika and to make sense, ila kufuatia nidhamu ya woga na kujikombakomba, mnaweza kushuhudia utumbuaji majipu ukifuatia ziaa hii pale Eapoti leo Jumamosi, au siku ya Jumatatu, kisa jamaa kapita pale kashuhudia na kadanyanywa!.
Tanzania inachohitaji sasa sio one man show, na movie za ze comedy!, tunahitaji kujenga mifumo, systems, kama hakuna scanner kwenye arrival zote duniani, bali kuna declaration forms, kila mzigo unaofikia arrival ulikuwa scanned kule ulikotoka na ukawa cleared ni majangili mataahira tuu ndio watauwa tembo wetu kisha wabebe pembe za ndovu kuingia nazo arrival! wakati mipaka yetu yote ni very porous!. Vitalu vyote vya uwindani vina private air strips midege inaingia na kutua na kujichukulia chochote na kuishia zao juu kwa juu, kwa kisingizio ni vitalu vya uwindaji!, ni kichaa tuu mwenye uwezo wa kutua porini kubeba nyara na kuja nazo arrival!.
Kila ndege kabla haijaingia Tanzania lazima ipate clearance toka TCAA, tuweke watu kwenye every private air stripe na kujenga mfumo toka TCAA kuwa hakuna ndege itakuwa cleared kutua kwenye shamba la bibi, bila bibi kutuma mjukuu ashuhudie hiyo ndege imeleta nini, na hakuna clearance kupaa hadi mjukuu athibitishe imebeba nini!.
Kiukweli hii ya leo kwangu ilikuwa Ze Comedy!, hatuwezi kwenda hivi jamani!.
Namalizia kwa lile swali la msingi, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!".
Nawatakia Jumamosi Njema.
Pasco
Dhambi kubwa ni kumuogopa Uncle magu utadhani kama yeye ni mfalme.....unamuogopa vipi mtu aliye chini ya katiba ya nchi...tehtehteh na watu wa uingereza wataishi vp sasa.Wanabodi,

Shikamo Mzee wangu, nakushangaa sana...usipotoshe jamii,naona kuna baadhi ya watu humu mnaipotosha jamii,badala ya kuwaambia watumishi mbalimbali kusimamia uweledi katika kazi zao ili ufanisi uongezeke nyinyi mnasema atii" Ukiwa mtumishi wa umma lazima uogope;lazima uogope kuvunja sheria......" Kweli kabisa na Akili zenu timamu mnawaaminisha watu hivi...Really??? ,hivi tunajenga taifa au tunafanya ushabiki, tujitathimini maana tuendako tunaandaa kizazi kisicho na weledi na kusimamia misingi bali ni kujenga uwoga na kutokujiamini....Mzee wangu Mwanakijiji umeniangusha sana katika hili, nawaomba tulijenge taifa letu kwa Andika lenye transformation na si kama mfanyavyo sasa...hamkuwa hivyo.....NAANZA KUAMINI KWANINI WACHINA WANACHOMA MAHINDI KARIAKOO NA VIJANA WA KITANZANIA TUNASEMA HATUNA AJIRA....nyie ndio chanzo,mmeanza kutudanganya......Hatuwaamini...KWA TAARIFA YENU SISI VIJANA HATUOGOPI NA TUTASIMAMIA MAADILI NA WELEDI KATIKA MAJUKUMU YETU..kama ni kulipa kodi TUTALIPA.Naam dadangu, aidha watu wana nidhamu au hawana. Na hakuna kitu kama "nidhamu ya woga". Ukiwa mtumishi wa umma ni lazima uogope; uogope kuvunja sheria, uogope kutumia madaraka yako vibaya, uogope kukutwa unavuruga! Unatakiwa utende kazi kwa kujiamini, kwa weledi na kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na nafasi yako. Sasa bosi wako akitokea na kukuta umekunja nne ukaruka juu na kujimwagia chai na kuanza kujifanya unafanya kazi manake ni kuwa hukuwa mwoga in the first place! Ungekuwa unaogopa ungekuwa huna wasiwasi. Hivyo, woga wa kinidhamu unahitajika na viongozi waendelee kuwashtukiza na kuwatumbua hasa kama watumishi hawawaogopi mabosi wao au viongozi wao wajuu.
Tulidekezwa mno hadi tukadeka na kuamini tunatakiwa kudekezwa.
Ni afadhali kuwa na nidhamu ya woga kuliko kukosa nidhamu kabisa.
Go Magufuli.