Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.

Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi

A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Health workers wanashimdwa kubainisha,mara nyingi zinakua STI's na wala sio UTI

Lakini wagonjwa wenyewe wanafurahi waliambiwa wana UTI
 
Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.

Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi

A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Haya mambo yanahitaji utafiti ili kuja na majibu sahihi, lakini kulingana na jamii na hali halisi. Mawazo yako bado ni sahihi na nitaongezea.

A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.

Hapa tatizo laweza kuwa ni kufahamu jinsi ya kujisafisha na kusababisha kuhama kwa bakteria toka njia ya haja kubwa kuja kwenye njia ya mkojo.

B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.

1: Hapa kuna tatizo la daktari kuhitaji kipato, ili auze dawa hata kama kioimo si UTI.

2: Tatizo la daktari kutokuuliza dalili nyingine zaidi ili kutofautisha UTI vs STI.

3: Tatizo la mgonjwa kutokueleza vyema dalili zake richa ya kufahamu uwepo wa dalili hizo.

C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Kunaweza kuwa na ukweli hasa kuhamisha wadudu husika

D: Kutokunywa maji ya kutosha ili kupata mkojo mara kwa mara na kuganya wadudu wasipate muda wa kuzaliana zaidi kwenye njia ya mkojo.

E: Matumizi yasiyofaa ya dawa yanayoleta usugu wa wadudu(wagonjwa kujitibia vs utoaji hovyo wa dawa kupitia wataalamu wa afya).

F: Ongezeko la wataalamu wenye ufahamu wa kutambua magonjwa.

G: Ongezeko la upatikanaji wa teknolojia ya kutambua ugonjwa.

H: Tatizo la wagonjwa kutojisafisha kabla ya kutoa mkojo kwaajili ya upimaji.

I: Tatizo la kutokutoa mkojo wa kati, badala ya ule wa kwanza (maelekezo kwa wagonjwa).

J: Matumizi ya visafishio (pads, tampoo, vimiminika nk.) vyenye kemikali na vinapoleta shida hudhaniwa UTI na kujitibia (usugu wa dawa)

K: Wagonjwa kutokumaliza dozi.

L: Wataalamu kutokufuata madaraja ya dawa.

M: Kutojuwepo na mfumi thabiti wa kupata taariga za mgonjwa kwa tiba aliyoipata mwanzo(data nit linked).

N: Kutokuwepo na formal referral systems, mgonjwa anaingia pipote na kutibiwa.

Nk.
 
Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.

Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi

A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Sio UTI bali ni gonjwa la kutengenezwa linalofanana na UTI
 
Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.

Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi

A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Kwa mparange 99% inachangia, mtu anafukua tope halafu anarudi kisimani kusafisha jembe
 
Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.

Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi

A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
UTI ni shida,

mishangazi ya mtaani ikikosa kukuambukiza hyo bc utaambukizwa Gono...

Ilinikumba miezi minne iliyopita nashukuru Mungu niliwahi hospital nikadungwa sindano km zte nikapona
 
Wanawake wachafu wanaleta uzungu haswa wanaojiuza ,mtu kamaliza kufanya yake anajifuta tu na toilet paper au kitambaa halafu baadae anakuja mteja mwingine hata kuoga hajaoga kazi inaendelea.

Mtu akienda kukojoa hata kuna ni mtihani ni hatari kwa walaji wazee wa madanguro.
 
Mapenzi kinyume cha maumbile ndio kisababishi kikuu cha maradhi yote ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Sehemu ya haja kubwa inamlundikano wa virusi wengi zaidi kuliko mbele, hivyo nyuma kuna hatari kubwa Sana, ndio maana kuna ongezeko la uti, gono, kaswende na HIV

PUMBA
 
Huwa nachukia sana nikiona mtu anapost status eti anaUTI au anamwambia mtu nina UTI,huu ni ugonjwa wa aibu sana unaonesha ni jinsi gani ulivyomchafu,bora wajue watu wako wakaribu tu na doc wako,,,kuna mkuu hapo juu kamaliza kila kitu ila chakuongezea tu muanze kujisafisha mbele uende nyuma na muache kukaa na pedi muda mrefu,kabla hujaanza tumia choo chochote safisha kwanza, nk
 
Wanawake wachafu wanaleta uzungu haswa wanaojiuza ,mtu kamaliza kufanya yake anajifuta tu na toilet paper au kitambaa halafu baadae anakuja mteja mwingine hata kuoga hajaoga kazi inaendelea.

Mtu akienda kukojoa hata kuna ni mtihani ni hatari kwa walaji wazee wa madanguro.
Heheheee......hapo kwenye kazi iendelee😆
 
Back
Top Bottom